Dokta Uchwara
JF-Expert Member
- Apr 29, 2022
- 1,370
- 3,152
Jamaa washamba sana.Wanakuwaga miungu watu huku kwenye shithole countries. Ingekuwa huku tungeona silaha za moto na matumizi makubwa ya magari ya kifahari kwa kila kiongozi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa washamba sana.Wanakuwaga miungu watu huku kwenye shithole countries. Ingekuwa huku tungeona silaha za moto na matumizi makubwa ya magari ya kifahari kwa kila kiongozi.
soma thread hii,Ubaguzi hautaisha hapa Duniani. Mabasi ya marais weusi peke yao!
Hayati Magufuli angemtuma balozi tu amuwakilishe.
View attachment 2361528
Hili jambo wala halihitaji ufafanuzi, wengi wanaolishupalia exposure hakuna.
Viongozi wa nchi zengine mf. China, France, Germany, Brazil, etc. wamepanda mabasi na wala haijawa issue kabisa, ila bongo imekuwa big topic.
Tukiendelea na hizi mentality, hawa mafisi wa kijani watatutawala mapaka Yesu au mtume arudi
Wekamo japo kapicha tuone woteHata hapa wakati wa msiba wa Nyerere marais waalikwa walipanda Mabasi maalum
Nime like paras za kwanza...Hizo mbili za mwisho, naheshimu maoni yako lakini siyakubaliWewe ndiyo usiyekuwa na ufahamu kuhusu kitu kinaitwa "Power Relations" kwenye nyanja mbalimbali na hasa linapokuja kati ya taifa na taifa na athari zake.
Kuna siku Obama alienda Saudi Arabia halafu akajiinamisha chini ya mfalme wa Saudia, wamarekani waling'aka hapana mfano.
Kuna stori (sijui kama ni kweli maana sikuwepo) kwamba Malkia wa Uingereza alimsalimia Nyerere huku mikono yake kavaa gloves, Nyerere kuona hivyo naye akareciprocate kwa kumgea kifimbo chake.
Hizi folklore zote zinatengeneza jambo moja la msingi: kutawaliwa kimwili na kiuchumi kunaanza kwa mtu kutawaliwa akili na roho. Msipende kuchukulia vitu poa kudunishwa kwa Rais wa nchi. Ripple effect yake kwa watu wa taifa analoliwakilisha ina nguvu sana.
Kwangu binafsi Rais Samia haniwakilishi mimi huko alikokwenda sijui kuhudhuria msiba wa nani vile. Hilo basi alilopandishwa kapandishwa yeye kama Samia na wala hawajapandishwa watu wa taifa analoliongoza. Watanzania tuna legacy ya taifa kubwa lililowahi kuongozwa na Nyerere na Magufuli na hatuna uduni uduni wa dizaini hizo. Tunaweza kuwa hatuna uchumi mkubwa wa vitu lakini tuna hazina kubwa ya akili na ufahamu na hatukubali uduni wa akili wa wanasiasa walioangukiwa na bahati nasibu ya kutuongoza.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni hivi waliopangiwa kuingia na magari mpaka kanisani ilikuwa King Charles na mkewe, senior royals wa U.K. tena wachache na US president pekee.
Hakuna mwingine alitakiwa kuingia na gari lake.
Halafu sio kwamba wametolewa huko mahotelini na buses. Wote wamekwenda na misafara yao ya ulinzi isipokuwa wameshuka hako ka sehemu kadogo tu kama mile moja au mbili na kuingia kwa mabasi kwa pamoja.
Pamoja sanaHapo nimekusoma ahsante kunielimisha!
bilakupita humu ungeyajuaje haya ya mama hangaya kupandishwa dalalalaUzi zingine mtu unajiuliza weeeeeee unaishia kukaa kimya tu
[emoji3]Kapandishwa Kimbinyiko ya London,namuona mr.hustler anatabasamu pana sana.
sijui, On JF you should not be deceived by names, can be any sex regardless of the name for that matter fake IDMwanaume utaweza kumtia mimba?
😂😂😂🤣🤣🤣😅😅😆😆😁😄😄😃😃😃😀😆😆😆😁 Elizabeth Ametuweza..Viongozi wa Afrika walistahili kupandishwa kwenye lori la FUSO.
Kualikwa kunapunguza tozo kwani?Hivi nyie watu muko na matatizo?
Kuna ubaya gani ikiwa most head of state wamepandishwa basi?
Huyo magufoool hata kualikwa asingealikwa
😆😁😄😃😃😃bilakupita humu ungeyajuaje haya ya mama hangaya kupandishwa dalalala