Mnahangaika sawa, ufafanuzi wa kitu gani sasa tusichokijua?
Mnatuchosha na manyuzi yasiyona tija. Hata wakifafanua haitondoa uklikwamba alipanda basi sawa Kimotco japo hii imechangamka.

Hakuna cha ufafanuzi hapo wamepewa sawa na hadhi zao tu vungeni
 
Hivi ndugu zangu tumeenda msibani au tumeenda kustarehe? Ufahari msibani wa Nini sasa? Mnataka ufahari msibani? Tambueni ya kuwa viongozi wote wa jumuia ya madora wapo pale, Kama Kila mmoja wao atapewa usafiri wake itawachukua siku nzima kuwasafirisha Hadi eneo la tukio au nasema uongo?

Tuweni basi hata na akili kidogo ya kuchanganua mambo! Ooh mama kapanda Basi hii ndio Nini? Kapanda Basi la viongozi Basi tuishie hapo full stop. Tunabwabwaja weee utafikiri tumeenda harusini!

Tuweni wastarabu basi huko ni msibani sio harusi nyie ndio mnao kosa sahani ya wali msibani unalalamika Hadi kwa mkeo "hata sijala" ulienda kuzika au kula wali? Ashakumu si matusi kwaherini.

Wabongo bwana! Poleni na msiba.
 
Hatutaki ufahari msibani, na pia tumefurahi sana mmejifunza kwa vitendo namna ya kubana matumizi kwa viongozi wa serikali ya Tz wanatakiwa kuachana na misafara ya tozo na kuanza kutumia mabus kwenye ziara.

NB:
“Unaijua Vieitee wewe” In Polepole’s voice.
 
Hii camera ni simu gani mbona picha kali ivyo ??
 
Tumefilisika fikra
 
Just imagine sheria za nchi kuhusi taasis ya urais wameivunja bila.kujali, meaning wanauwezo wa kumwambia Amiri jesho yetu mkuu chochote bila madhara yoyote ya kidiolomacy kwao...Hiyo precedence iliyowekwa leo na hiyo familia na nchi yao kama dunia isipolaani haitakuwa poa kabisa na sisi taasisi yetu ya urais ijifunze, isirudie kosa kama hili hata siku moja na watuombe radhi wananchi kwakutushushia heshima ya Jamhuri yetu.

Hivi huyu marehemu hata ingekuaje angeweza ku compromize u malkia wake kwa sekunde hata moja? Ingeashiria nini kwa Kingdom yao?
 
Siwalaumu sana wandewa, haya yanatokea kwakuwa huku home mambo hayaendi.. Vilio ni vingi, maumivu ni mengi na kila kukicha afadhali ya jana.. Tozo ni kizungumkuti kikubwa sana kinacholeta simanzi kubwa kwenye jamii
 
kila moja anatoa maoni yake kuhusu hii issue na ni sawa ,everyone is entitled to his or her opinion and thats fine.lakini mm yngu ni ombi tu .waliyo kusanywa kwenye dala dala wanajijua, tunawaomba wakirudi nchini kwao ,hamna kufunga barabara kisa msafara wa rais.asanteni sana ni hilo tu.
 
Wenye uelewa mdogo ndio wataongea kama kawaida yao. Wamepanda mabasi marais wa nchi za Asia hao waafrika ni kina nani?.
Tatizo siyo yeye kama individual, ni madaraka yake ambayo ni utu wa taifa letu...Hao wamejiweka kama viongozi wa dunia ndiyo maana yake otherwise wangetafuta jinsi ya kuonyesha wana honor sovereignty ya mataifa ya dunia na kuheshimu watu wa hizo nchi
 
Mbona Magufuli alimpandisha basi la mwendokasi mgeni wake toka ulaya ambaye alikaa siti ya dirishani, ila ulaya hawakulalamika kwa ubaguzi wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…