Akija awe anatumia mwendokasi sasa aache kutuweka foleni na ule msafara wake wa ma V8 hamsiniAibu!
Huko London kwenye msiba wa Queen Elizabeth II, Rais Samia wa Tanzania ni mmoja wa Viongozi waliopandishwa kwenye basi.
Nb: Kuna kila dalili Rais wa bongo alikuwa ana mind mpiga picha 😄.
View attachment 2361396
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]wabongo mna nini lkni??Muda wa kuchimba dawa lazima usogee mbele huku unayumbayumba unadaka siti moja kwenda kumuomba dereva alegeze mwendo
Mseven anaheshimu kinyesi chake.Naskia museven alitaka kwenda na hii ndinga wamemgomea[emoji16]View attachment 2361424
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unajitetea sana... samia kaaibika sana maskinii
Amejikunyata dirishani kwa hofu anatamani kujificha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Rangi nyeusi tunabaguliwa sanaYaani rais wa Marekani ndio karuhusiwa kuingia Buckingham na msafara wake, marais wengine toka nchi nyingine duniani wamepakiwa kwenye mabasi, yani hawajapewa hadhi ya urais kabisa, hizo si dharau jamani, hlf pia ni security threat kwa hao marais.
Wao wakija huku, tunasafisha hadi barabara
Mdomo wangu hebu kaaaSura ya Samia kwenye picha unaona kabisa anajisemea leo huko bongo mbona patachimbika kwa kupanda basi hilo [emoji1] [emoji1787]
🤣🤣🤣🤣 hiyo ni mtu ka tweet bhana sisi sio majuha
Bado unaabudu mfu? Kweli wewe umevurugwa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Magufuli safi sana baba!
Huu ujinga ulikuwa hauvumiliki kwako!
Ila kwa wapumbavu wakapiga mayowe eti tutakufa kwa njaa!
Oneni sasa aibu hii!
Kupanda basi sio jambo la kushangaza.Acheni utoto hapa ,lazima mjuwe na mfahamu kuwa tukio la msiba wa malikia limekusanya viongozi wote karibu kila Kona ya Dunia, hivyo isingekuwa na uwezekano wa kuweka msafara kwa kila kiongozi, ndio maana wakatumia utaratibu huo ili kurahisisha hata suala Zima la usalama na hata namna ya foleni njiani , Hivyo huo ndio ulikuwa mkakatika mzuri wa kuwafanya Marais wetu kufika enei la tukio kwa ulahisi zaidi na kwa usalama mzuri,