Aibu!

Huko London kwenye msiba wa Queen Elizabeth II, Rais Samia wa Tanzania ni mmoja wa Viongozi waliopandishwa kwenye basi.

Nb: Kuna kila dalili Rais wa bongo alikuwa ana mind mpiga picha [emoji1].

View attachment 2361396

Kwa hiyo wewe unayemuona humo ni Samia tu, hao marais wengine wakiwemo akina Ruto huwaoni! Wewe kweli hazimo au goroli zimekulegea kabisa kichwani!
 
Kenya's President William Ruto, Tanzania's President Samia Suluhu and other African leaders rode on a bus to attend Queen Elizabeth II's state reception in the UK.

USA's President Joe Biden was allowed to ride in his bulletproof limousine.

Former Kenyan Governor, Mike Sonko responded to this saying, "These foreigners lack manners. How can they keep African Presidents in one bus in London? God forbid something bad happens on that bus. What will happen?"
 
Acha uongo wewe! Leta picha za viongozi wa china, france, gemany na canada wakiwa kwenye basi
 
Wabongo wana nongwa sana
 

Security details kabla hata ya maraisi kufika U.K. wote walishaelezwa kabla, siku ya msiba kuelekea β€˜Westminster Abbey’ watapanda mabasi.

Kwa ivyo hakuna chochote ambacho walikuwa awakijua kabla ya kurusha ndege zao.

Plan za mazishi ya Queen zimeanza kupangwa kabla ya hata yeye mwenyewe kufa na kashiriki kiasi kikubwa to the detail muda wa kufukiwa.

R.I.P wameshamfukia rasmi 7.30 pm muda wao akiwa na familia yake tu.
 
Biden anatua na beast, ambulance, jammer na gari zingine kadhaa afu umuweke kwenye yutong [emoji3]

Nani Kati ya hao kaenda na usafiri wake wa chini kama Biden?
Mimi nawaza Kam ingetokea ajali kwenye ilo basi tungepoteza viongozi wangapi wa Africa?ila waafrika mmhhh
 
Nani kakwambia hivyo, kwanza Ni heshima kubwa iliyotolewa kwetu kwa kutambua Historia yetu na wao katika suala Zima la diplomasia, Usalama imeimarishwa vizuri na mh Rais wetu mpendwa amesafiri vyema kabisa katika Kati ya umati mkubwa wa viongozi toka Duniani kwote
 
Wameenda kufanya nini kama sio kujipendekeza??wewe kila siku mtu yupo kwa majirani utafikiri hana kitanda Wala nyumba . Mbona jiwe alikuwa haendi.
Umeshasema Jiwe' tanguapo haliwezi tembea eti"
 
Leta picha hapa ya kiongozi wa china au france na German wakiwa kwenye basi moja!
Watanzania hv muna nini ? Hv Kiongozi wa China Germany ' France unataka ufananishe na viongozi wetu wa Africa? em mda mwingine tuwe serious jamani!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…