Sasa kama Rais ndani ya basi je wale wapambe si wamebakia hotelini, protokali zote kwishnei...

Kweli Tanzania nchi ndogo sana, maana ningefarijika kama marais wa Ufaransa, Ujerumani US, Canada nao ningewaonamo humo.
Rais wa nchi yeyote haendi sehemu bila walinzi kutangulia, Lazima walinzi wa hao viongozi walitangulia siku kadhaa kabla,na huko Bus liendako wapo
 
Hivi nyie watu muko na matatizo?
Kuna ubaya gani ikiwa most head of state wamepandishwa basi?
Huyo magufoool hata kualikwa asingealikwa
Kwani Samia kaalikwa?
 
Huku kwetu "wakuu wa nchi" wanaingia kwa misafara. Ataanza wa Rwanda, Kenya, Tz, Botswana, nk. Wao tu kuingia ni shughuli ya masaa, huko wa malkia wote wamepandishwa Mbezi-Kivukoni.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wanatia huruma kweli.

Afu mbona hawajavaa barakoa? [emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…