Nina uhakika kwa asilimia zote Marehemu Magufuli kama angelikuwa hai asingeenda kabisa.

Bila shaka angekuwa ametulia zake Chato
Hakuna Rais niliyempenda Tanzania kama Hayati Dk. Magufuli kama nilivyowapenda pia akina Nyerere na Mkapa kwani Wote hawa Watatu walibarikiwa mno Maarifa, Maono na Akili Kubwa na Mwenyezi Mungu.

May all of them Rest In Peace.
 
Nadhani mmemuona Rais wa Marekani alivyoingia na gari bunafsi nahisi kama ilisafirishwa mapema kabla yeye hajaenda kama Ilivyo hadi yao.
Sasa mnataka kulinganisha kweli na Marais wetu wa Africa inayowanyenyekea !! Badala ya kupanga jambo la maendeleo ninsafari tuu.
Angalia viongozi wote wawili wa ngazi ya juu kabisa wametoka!! Haya yalifanyika awamu ya 5!??
 
Richmond huyu kumbe ana mishe nyingi sio Umeme tu mpaka Ma Yu Tong kwa Late Malkia
 
Sio Rais wa marekani Tu hakuna Rais aliyeko G7 aliyerundikwa kwenye yutong.Mfano Rais wa China au France au wa nchi yoyote kubwa Angekubali kurundikwa ovyoovyo hivyo kwenye yutong?tuanze kujenga nchi yetu inawezekana.
 
Huna ukijuacho kaa tu Kimya sawa?
 
Sasa kila mtu akija na msafara wake hiyo shughuli iliyowaleta itafanyika kweli.
Na biden si rahisi wa mchezo mchezo ndio akaruhusiwa kuja na msafara wake.

Jingine sasa wale omba omba watapewaje attention
 
Huyo Ruto, ndiyo Kwanza anachekelea, kupandishwa kwenye basi, kwa kuwa yeye ni "Hustler" anaona kama vile wamempa promotion kumpandisha kwenye basi, kwa kuwa yeye kawaida yake kuendeshwa kwenye toroli![emoji28]
Mbavu zangu miye
 
Alafu basi ni Mungu tu,ilo basi lingepata hata pancha wakashuka kusubiri lingine kuwafata wapate hekaheka na wao,na kututambia na misafara yao ya magari ya gharama kubwa wakati hata vijiji walivyotoka havina barabara wala maji safi.
 
Msichokijua ni kwamba kiongozi anayeheshimika sana Uingereza na kumiminiwa kila aina ya baraka na sifa kwenye wimbo wao wa taifa "God save the King" ni mfalme wao, ambaye kwa sasa anaitwa King Charles III. Hao viongozi wengine duniani wakiwemo ma PM wao wanachukuliwa kikawaida sana, hawapewi special treatment kama ilivyo kwa mfalme. Unaweza kuta hata Lizz Truss Waziri Mkuu wao kaingia hapo na guta maana hakuna anayejali ni usafiri gani ataingia nao, zaidi ya kujali kutaka kujua Mfalme kaingia na gari gani special kwa ajili yake, baasi....​
 
Huwezi kufananisha G7 na hicho mnachokitaka, keyboard isiwafanye mkaisahau hali halisi.
Basi na Sisi tujijenge tuwe kama wao.tunadharauliwa Kwa sababu wanatuona hatuna akili tumeshindwa kutumia rasilimali zetu nyingi kujikomboa.
 
Kwangu Mimi hawa ndiyo 'Wanamume' wa kweli wa Bara la Afrika ambao Kwao Msamiati wa Kujipendekeza na Kudhalilishwa na Mkoloni wa Kihistoria ( Mzungu ) haukuwepo ndani ya Mioyo yao iliyotukuka.
Halafu ingesaidia nini?
 
Mbona wote hao ni compromizers tu.Hata kama wangekuwa na misimamo bado isingesaidia,Njaa hainaga baunsa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…