Rais Samia apandishwa Basi huko London kwenye Msiba wa Malkia Elizabeth II
Nina uhakika kwa asilimia zote Marehemu Magufuli kama angelikuwa hai asingeenda kabisa.

Bila shaka angekuwa ametulia zake Chato
Hakuna Rais niliyempenda Tanzania kama Hayati Dk. Magufuli kama nilivyowapenda pia akina Nyerere na Mkapa kwani Wote hawa Watatu walibarikiwa mno Maarifa, Maono na Akili Kubwa na Mwenyezi Mungu.

May all of them Rest In Peace.
 
Ukiwa na uchumi mkubwa huwezi kupandishwa Kwenye yutong,Mfano Rais wa France au China au canada au Russia au marekani au waziri mkuu wa Japan au nchi yoyote kubwa hawawezi kurundikwa kwenye hiyo yutong.hapo wametoa heshima Kwa kuangalia wewe ni nani.au Kwa mfano Rais wa afrika kusini kama yupo kapandishwa kwenye yutong IPi.fungueni akili zenu tujenge nchi zetu.watakuheshimu vipi wakati wanajua wanarais wa Africa ni WA michongo?Amka wewe Acha Kulala.
Nadhani mmemuona Rais wa Marekani alivyoingia na gari bunafsi nahisi kama ilisafirishwa mapema kabla yeye hajaenda kama Ilivyo hadi yao.
Sasa mnataka kulinganisha kweli na Marais wetu wa Africa inayowanyenyekea !! Badala ya kupanga jambo la maendeleo ninsafari tuu.
Angalia viongozi wote wawili wa ngazi ya juu kabisa wametoka!! Haya yalifanyika awamu ya 5!??
 
Richmond huyu kumbe ana mishe nyingi sio Umeme tu mpaka Ma Yu Tong kwa Late Malkia
 
Nadhani mmemuona Rais wa Marekani alivyoingia na gari bunafsi nahisi kama ilisafirishwa mapema kabla yeye hajaenda kama Ilivyo hadi yao.
Sasa mnataka kulinganisha kweli na Marais wetu wa Africa inayowanyenyekea !! Badala ya kupanga jambo la maendeleo ninsafari tuu.
Angalia viongozi wote wawili wa ngazi ya juu kabisa wametoka!! Haya yalifanyika awamu ya 5!??
Sio Rais wa marekani Tu hakuna Rais aliyeko G7 aliyerundikwa kwenye yutong.Mfano Rais wa China au France au wa nchi yoyote kubwa Angekubali kurundikwa ovyoovyo hivyo kwenye yutong?tuanze kujenga nchi yetu inawezekana.
 
GENTAMYCINE dah skujua Kama una upeo mdogo kiasi hiki, unakumbuka kipindi Tanzania inapata Uhuru nkuruma alimtuhumu nyerere kwa kung'ang'ania mfumo wa kijeshi wa kikoloni.? Hata alipo taka kupinduliwa nyerere alienda kwa malkia kuomba msaada.?

Kifupi nyerere alikua ni mtu wa kujipendekeza labda kwa baadae ndo alikuja kuvunja mahusiano ya ki diplomasia Kati ya marekani na uingereza.

Mwenye hiyo orodha yako mtoemo nyerere.
Huna ukijuacho kaa tu Kimya sawa?
 
Sasa kila mtu akija na msafara wake hiyo shughuli iliyowaleta itafanyika kweli.
Na biden si rahisi wa mchezo mchezo ndio akaruhusiwa kuja na msafara wake.

Jingine sasa wale omba omba watapewaje attention
 
Huyo Ruto, ndiyo Kwanza anachekelea, kupandishwa kwenye basi, kwa kuwa yeye ni "Hustler" anaona kama vile wamempa promotion kumpandisha kwenye basi, kwa kuwa yeye kawaida yake kuendeshwa kwenye toroli![emoji28]
Mbavu zangu miye
 
Alafu basi ni Mungu tu,ilo basi lingepata hata pancha wakashuka kusubiri lingine kuwafata wapate hekaheka na wao,na kututambia na misafara yao ya magari ya gharama kubwa wakati hata vijiji walivyotoka havina barabara wala maji safi.
 
Msichokijua ni kwamba kiongozi anayeheshimika sana Uingereza na kumiminiwa kila aina ya baraka na sifa kwenye wimbo wao wa taifa "God save the King" ni mfalme wao, ambaye kwa sasa anaitwa King Charles III. Hao viongozi wengine duniani wakiwemo ma PM wao wanachukuliwa kikawaida sana, hawapewi special treatment kama ilivyo kwa mfalme. Unaweza kuta hata Lizz Truss Waziri Mkuu wao kaingia hapo na guta maana hakuna anayejali ni usafiri gani ataingia nao, zaidi ya kujali kutaka kujua Mfalme kaingia na gari gani special kwa ajili yake, baasi....​
 
Huwezi kufananisha G7 na hicho mnachokitaka, keyboard isiwafanye mkaisahau hali halisi.
Basi na Sisi tujijenge tuwe kama wao.tunadharauliwa Kwa sababu wanatuona hatuna akili tumeshindwa kutumia rasilimali zetu nyingi kujikomboa.
 
GENTAMYCINE dah skujua Kama una upeo mdogo kiasi hiki, unakumbuka kipindi Tanzania inapata Uhuru nkuruma alimtuhumu nyerere kwa kung'ang'ania mfumo wa kijeshi wa kikoloni.? Hata alipo taka kupinduliwa nyerere alienda kwa malkia kuomba msaada.?

Kifupi nyerere alikua ni mtu wa kujipendekeza labda kwa baadae ndo alikuja kuvunja mahusiano ya ki diplomasia Kati ya marekani na uingereza.

Mwenye hiyo orodha yako mtoemo nyerere.
Mbona wote hao ni compromizers tu.Hata kama wangekuwa na misimamo bado isingesaidia,Njaa hainaga baunsa.
 
Back
Top Bottom