Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Hehe tumewaona wakwe kwakweli.....dunia ya mabeberuAta huku wakwe na ndugu wa karibu wanapewa nafasi, kukosa humility ni issue ya malezi mabaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hehe tumewaona wakwe kwakweli.....dunia ya mabeberuAta huku wakwe na ndugu wa karibu wanapewa nafasi, kukosa humility ni issue ya malezi mabaya
Kujikomba kubayaMsiba wa Mandela ulihudhuriwa na viongozi wakubwa wa mataifa tofauti na licha ya kuwa S.A ina uchumi mdogo kuliko U.K ila waliweza kuhudumia misafara ya viongozi wote waliohudhuria.sasa iweje U.K washindwe kuwahudumia viongozi waliohudhuria msiba wa malkia!!!?
Mwanetu Harry kaoa hukoHehe tumewaona wakwe kwakweli.....dunia ya mabeberu
Aibu!
Huko London kwenye msiba wa Queen Elizabeth II, Rais Samia wa Tanzania ni mmoja wa Viongozi waliopandishwa kwenye basi.
Nb: Kuna kila dalili Rais wa bongo alikuwa ana mind mpiga picha 😄.
View attachment 2361396
Ruto anafuraha ya Urais bado ndio maana anacheka sanaKwani vipi yeye amenuna au amefurahia? Mbona Ruto ana shangwe tu
Yaani Kutwa mpo Kwao mnatembeza tu Bakuli la Kuwaomba Misaada wakati Kwenu mna Rasilimali nyingi Kuwazidi Wao halafu mnataka mueshimike?Msiba wa Mandela ulihudhuriwa na viongozi wakubwa wa mataifa tofauti na licha ya kuwa S.A ina uchumi mdogo kuliko U.K ila waliweza kuhudumia misafara ya viongozi wote waliohudhuria.sasa iweje U.K washindwe kuwahudumia viongozi waliohudhuria msiba wa malkia!!!?
Ndiyo zitapunguza Machungu ya Sisi 'Miafrika' Kudharauliwa nao na kutufanya tuwe na Akili na tuache Kujikomba Kutwa Kwao?Weka screenshot humu GENTAMYCINE
Lete picha ya Rais wa ufaransa au waziri mkuu wa Canada au viongozi wa G7 waliopanda yutong Acha kutetea haya madharau.usitete ukoloni mamboleo.usiwe kipingamizi wa afrika mpya.
That is massive ignorance thereUnazidi kuonyesha uhalali wa hoja yangu bila hata wewe mwenyewe kujishtukia. Hizo sababu ulizozitaja ndizo hasa sababu za msingi za akina Samia kupandishwa basi. Mwingreza amewapimia thamani yao na kuona wanafaa basi. Kwa upande mwingine upo sahihi: viongozi wanaojielewa thamani yao aidha hawajaenda au hawakukubali kuwekewa masharti.
Mawazo mgando sana haya, how can you be so rigid in the flexible world like this. Remember, pale hakukuwa na cheo cha uraisi bali viongozi waalikwa na maelekezo yalitolewa kabla. Don't complicate mattersNafikiri hii kitu umeielewa na kuiweka vizuri sana. Kuna mamtu yapo bize kuwatetea hao waliovunja protokali ya mkuu wa nchi kwa kisingizio eti mbona na viongozi wengine wa nchi wamefanyiwa hivyo. As if uthamani wa taifa letu pamoja (na viongozi wanaopaswa kulinda thamani hiyo) una ubia na nchi zinginezo.
View attachment 2362099
Una lingine?