Rais Samia apandishwa Basi huko London kwenye Msiba wa Malkia Elizabeth II
Msiba wa Mandela ulihudhuriwa na viongozi wakubwa wa mataifa tofauti na licha ya kuwa S.A ina uchumi mdogo kuliko U.K ila waliweza kuhudumia misafara ya viongozi wote waliohudhuria.sasa iweje U.K washindwe kuwahudumia viongozi waliohudhuria msiba wa malkia!!!?
 
Kujikomba kubaya
 
sasa tatizo liko wapi hapo mpaka watu wanaanza kuhamaki kisa viongozi wa Africa kupana bus moja ,cha msingi ambacho watu wamapaswa kujua ni kwamba Britain is the first world kwa hivyo usalama wao umezingatiwa 100 percent mbwembwe za kiafrica za mav8 kule ushamba huo hamna kUle watu wanaangalia sera or policies.
 
Aibu!

Huko London kwenye msiba wa Queen Elizabeth II, Rais Samia wa Tanzania ni mmoja wa Viongozi waliopandishwa kwenye basi.

Nb: Kuna kila dalili Rais wa bongo alikuwa ana mind mpiga picha 😄.

View attachment 2361396
A11B9DB2-9235-4A2C-B980-CDF588D4900B.jpeg

Haya Mama nakusogezea Rais wa Ufaransa na mkewe
Pia Rais wa Brazil na mkewe
Na waafrica wengine hapo
Mna nongwa sana
 
Msiba wa Mandela ulihudhuriwa na viongozi wakubwa wa mataifa tofauti na licha ya kuwa S.A ina uchumi mdogo kuliko U.K ila waliweza kuhudumia misafara ya viongozi wote waliohudhuria.sasa iweje U.K washindwe kuwahudumia viongozi waliohudhuria msiba wa malkia!!!?
Yaani Kutwa mpo Kwao mnatembeza tu Bakuli la Kuwaomba Misaada wakati Kwenu mna Rasilimali nyingi Kuwazidi Wao halafu mnataka mueshimike?
 
Unazidi kuonyesha uhalali wa hoja yangu bila hata wewe mwenyewe kujishtukia. Hizo sababu ulizozitaja ndizo hasa sababu za msingi za akina Samia kupandishwa basi. Mwingreza amewapimia thamani yao na kuona wanafaa basi. Kwa upande mwingine upo sahihi: viongozi wanaojielewa thamani yao aidha hawajaenda au hawakukubali kuwekewa masharti.
That is massive ignorance there
 
Nafikiri hii kitu umeielewa na kuiweka vizuri sana. Kuna mamtu yapo bize kuwatetea hao waliovunja protokali ya mkuu wa nchi kwa kisingizio eti mbona na viongozi wengine wa nchi wamefanyiwa hivyo. As if uthamani wa taifa letu pamoja (na viongozi wanaopaswa kulinda thamani hiyo) una ubia na nchi zinginezo.
Mawazo mgando sana haya, how can you be so rigid in the flexible world like this. Remember, pale hakukuwa na cheo cha uraisi bali viongozi waalikwa na maelekezo yalitolewa kabla. Don't complicate matters
 
Back
Top Bottom