KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 3,883
- 4,676
Leta pichaAcha kujifariji wewe Macron alikua na usafiri wake
Yaonekana hata Macron humjui anafananaje
Haya Rais wa Brazil pia hujamuona?
Ama hata humjui?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leta pichaAcha kujifariji wewe Macron alikua na usafiri wake
Haamini kama ni kweli amerudia maisha ya ukabwela
Unateseka sana...kimbinyiko limewahusu viherehere wa africa...Leta picha
Yaonekana hata Macron humjui anafananaje
Haya Rais wa Brazil pia hujamuona?
Ama hata humjui?
UmeishiwaUnateseka sana...kimbinyiko limewahusu viherehere wa africa...
Flexible world like this? Ulimwengu gani unaozungumzia wewe, huu huu ambao mwingereza ametumia fursa ya kifo cha malikia "kuwaalika" wale anaoona hawana shida nao kidiplomasia? Na kutowaalika Russia, Myanmar, Venezuela, Belarus, Syria, na kuwaalika nusu nusu China kwenye sijui hayo mambo ya vifo vya malkia? Hiyo ndo unaita flexible world?Mawazo mgando sana haya, how can you be so rigid in the flexible world like this. Remember, pale hakukuwa na cheo cha uraisi bali viongozi waalikwa na maelekezo yalitolewa kabla. Don't complicate matters
Watu wakinunua mavieite ya milioni 560 tunalalamika ! Wenzetu wakituonyesha namna ya kubana matumizi yasiyo ya lazima kwa mfano kutumia usafiri wa Basi pia tunalalamika !! Bandugu hata sijui tumesimamia wapi ? Jamaa wanatuonesha kwa vitendo kwamba sisi bado ni masikini !! Wanatuitaga third world countries!!Kwani maraisi wote ni wangapi waliokwenda mazikoni.Kwani hakuna hata gari ya ubalozi wetu
akapanda gari yake.
Sio kwa manenoBasi na Sisi tujijenge tuwe kama wao.tunadharauliwa Kwa sababu wanatuona hatuna akili tumeshindwa kutumia rasilimali zetu nyingi kujikomboa.
Si unajua kila kitu connection!Aliwezaje kupata seat ya dirishani?
Umenena kweli !Waafrika tunahagaishwa na kitu kinaitwa Paranoia au Repercussion Complex.Hata katika mazingira ya kawaida tunapokutana na matendo ya mzungu bila kujali Mila,utamaduni na mipango yake huwa tunadhani tunanyanyaswa,tunaonewa,tunapuuzwa nk!
Fikiria mazishi ya Malkia yalihudhuriwa na Marais na watu mashuhuri 500 kutoka kote duniani.Kulikuwa na Marais 55, mawaziri wakuu 23 na wafalme/ masultan 19.Fikiria wote hao wangeenda na misururu ya magari yao hapo Westminster Abbey penye kutosha watu 2200 pangetosha na parking ingekuwaje.Misururu yote hiyo usalama ungekuwaje?
Kingine ambacho hatujiulizi viongozi kutoka mabara mengine walienda na usafiri upi? Kwa nini tunaona ni viongozi wa Africa tena tunamjadili Samia kwa upekee!!
George Orwell katika kitabu chake cha Animal Farm kuna nukuu inasema: all animals are equal but some are more equal than others.Tusichukulie poa kwa sababu Samia ni Rais kama Biden watakuwa na hadhi sawa.Kubali kataa ndo maana walioingia na magari yao ni Biden na PM wa Israel!
Na mwisho msafara na shughuli zote za mazishi zilifanyika humohumo London,mnaolilia misafara nani kawaambia mazishi yalifanyika Liverpool au Southampton kwamba rais wetu alichoka kwa safari ndefu?
Haaaaa Haaaaa 😂 hata mi Nimeweza hivyo hivyoSura ya Samia kwenye picha unaona kabisa anajisemea leo huko bongo mbona patachimbika kwa kupanda basi hilo 😄 🤣
Anapaswa kupanda mabasi hata hapa nyumbani ili ajue kero za wananchi, nyie watanzania vp?!Aibu!
Huko London kwenye msiba wa Queen Elizabeth II, Rais Samia wa Tanzania ni mmoja wa Viongozi waliopandishwa kwenye basi.
Nb: Kuna kila dalili Rais wa bongo alikuwa ana mind mpiga picha 😄.
View attachment 2361396
Tungemuona na mfalme wa Japan na Biden mle ndani isingekuwa maneno.Wametuvunjia heshima sana maraisi wetu waafrika kuwabeba namna ile.Eti raisi Mnangagwa ndiye aliyejitolea kuwa dereva.Kwakweli binafs sijaona shida maana msiba huo ulihudhuriwa na watu zaidi zaid milioni moja, so kama kila mmoja angetembea kwa usafiri wake mbona ingekuwa taabu sana! Huo ni utaratibu tu wa kawaida kabisa tena si kwa Rais Samia wa Tz hata marais wengine wanaonekana hata pichani!
Wanyonyaji tu hao ni sawa na Symbion,IPTL,Agrecco, Jiwe alikuwa anawapiga vita.Hivi RICHMOND NI YA NANI??
Zitaonyesha hichi ukisemacho ni uongo unafiki na nikama ushangingi haufai kwa mtoto wa kiumeNdiyo zitapunguza Machungu ya Sisi 'Miafrika' Kudharauliwa nao na kutufanya tuwe na Akili na tuache Kujikomba Kutwa Kwao?
Watu wana linganisha jinsi wakiwa kwenye Misafara yao Bongo na V8 kama 10 msafara wa Raisi tuu pekeake.cha ajabu ni kipi hapo,ila kwa wanaokejeli inaonyesha dhahiri ni chuki binafsi tu ila mwenyewe aliepanda basi yupo comfortable tu,kwani hamkuona majuzi tu alipanda boti ya abiria kutoka Zanzibar,ama hakika hakuna kitu kibaya kama chuki(jealous,hasad) hakika inaondoa ufahamu na inaleta ushabiki usio na maana