Hakuna Rais niliyempenda Tanzania kama Hayati Dk. Magufuli kama nilivyowapenda pia akina Nyerere na Mkapa kwani Wote hawa Watatu walibarikiwa mno Maarifa, Maono na Akili Kubwa na Mwenyezi Mungu.

May all of them Rest In Peace.
Magufuli alikuwa bora liende tu
 
Mzee Saidi umefungua account mpya?
 
Hakuna Rais niliyempenda Tanzania kama Hayati Dk. Magufuli kama nilivyowapenda pia akina Nyerere na Mkapa kwani Wote hawa Watatu walibarikiwa mno Maarifa, Maono na Akili Kubwa na Mwenyezi Mungu.

May all of them Rest In Peace.
Mkapa mtuo
 
Imagine viongizi wawili wakuu wa nchi hawapo kwanini watu waliobaki wasile Kwa urefu wa kamba zao?
 
Tumetukanwa, tumedhihakiwa, tumechoreka na tumedharauliwa maradufu ya walivyotudharau walipokuwa Wakoloni wetu.

Hakuna comment iliyoniuma GENTAMYCINE kama hii isenayo "....Nyani njiani Kutalii Jiji la London ili Wakastaarabike wakirejea Makwao Maporini..... "

Na kuna Mwingine 'Kazumu' Bichwa la 'Hustler' na 'Chogo' chemba lake kisha akasema Nyani akitafakari jinsi atakavyoidaka Ndizi yake.

Na kuna Rais mwingine sijamwona na kumtambua vyema ila amekaa kama dirishani mkono kauweka Usoni huyu kuna Mzungu Mmoja 'Kakomenti' kuwa Nyani akiona Aibu kupigwa Picha.

Kifupi huko Mitandaoni kwa Wazungu leo Neno la Nyani limetumika na kupata Mashiko mno na natamani sana nami niwajibu kwa Hasira, ila tatizo sijui Kiingereza hivyo nawaombeni mnaokijua nanyi muwafuate huko mkawajibu Wasomi wenzenu.

Mkiambiwa siyo kila Tukio muwe na Kiherehere nalo Kwenda Kulihudhuria muwe mnatuelewa matokeo yake mmezikimbia Nchi zenu kwa Malalamiko ya Wananchi wenu juu ya Hali Ngumu ya Maisha na kwenda Kupumzisha Akili London matokeo yake Mmesanifiwa kwa kupakiwa pamoja kama Ndizi za Mgeta Morogoro na Kutudhalilisha hadi Wenye Akili Kubwa mliotuacha huku Barani Afrika.
 
Nafikiri hii kitu umeielewa na kuiweka vizuri sana. Kuna mamtu yapo bize kuwatetea hao waliovunja protokali ya mkuu wa nchi kwa kisingizio eti mbona na viongozi wengine wa nchi wamefanyiwa hivyo. As if uthamani wa taifa letu pamoja (na viongozi wanaopaswa kulinda thamani hiyo) una ubia na nchi zinginezo.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Unajitetea sana... samia kaaibika sana maskinii

Amejikunyata dirishani kwa hofu anatamani kujificha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anapitia mtandaoni haamini fedhea anazopokea. Akitoka anatuongezea Tozo
 
Nyie wajengewa vyoo mnauthamani gani WA kuwapanga host wenu jinsi ya kuwahandle ?
How dare you ? Mmelazimishwa kuhudhuria ?
Unazidi kuonyesha uhalali wa hoja yangu bila hata wewe mwenyewe kujishtukia. Hizo sababu ulizozitaja ndizo hasa sababu za msingi za akina Samia kupandishwa basi. Mwingreza amewapimia thamani yao na kuona wanafaa basi. Kwa upande mwingine upo sahihi: viongozi wanaojielewa thamani yao aidha hawajaenda au hawakukubali kuwekewa masharti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…