Rais wa Zambia alikataa ununuzi wa magari mapya, vile vile na wa Bokinafaso amebaki na gari la zamani. Rais anaweza akasema msafara wangu usizidi magari 10 na ikawa hivyo. Kiongozi lazima awe in control siyo anaendeshwa kimzobemzobe.
Hizo fedha zilizonunua hayo magari zineelekezwa katika kununua Tractors kutatokea mageuzi makubwa katika Kilimo chenye Tija.
 
Maza ana matumizi makubwa kuliko Biden
 
Ulaya hakuna misafara, huwa najiuliza viongozi wanapita wapi.

Huko Africa bado evolution of man inaendelea!
 
Ukweli mchungu kuhusu Afrika ni huu:
UKIINGIA OFISINI HASWA ZA UMMA NA UKATOKA BILA KUPIGA PESA UNAONEKANA MPUMBAVU TENA MPUMBAVU SANA!
UKIPATA MADARAKA YATUMIE VIBAYA TENA BILA KUTUMIA UTASHI WOWOTE! USIRUHUSU MTU AKUFUNDISHE NAMNA YA KUFANYA KAZI YAKO! WAUMIZE WATU KIASI KWAMBA KILA MTU AKUOMBEE MABAYA! DUA NZURI KWA AFRIKA NI SAWA NA KUOMBEA MTU MIKOSI! ILA DUA MBAYA NDO SAWA NA KUMUOMBEA MEMA MTU.
HATA HAO MADEREVA WANATAMBUA KUWA WANAWAUMIZA WANANCHI, WANAJUA KUWA WATANZANIA WANAUMIA ILA HAWAWEZI KUSEMA WAKILINDA UGALI WAO.
 
Nikifikiria kwamba 2025 ataendelea kuwa Rais hadi 2030 nachoka kabisa
 
Nilidhani utani !
Nikaamua kuzihesabu 😱
 
its just nonsense. Hata sisi tunaoona yanayoendelea hatuna utashi wala ujasiri wa kusimama kukemea uhuni huu. Bunge lipo bubu, wananchi bubu, wasomi bubu, tumebaki kulia lia nyuma ya keyboard.
 
its just nonsense. Hata sisi tunaoona yanayoendelea hatuna utashi wala ujasiri wa kusimama kukemea uhuni huu. Bunge lipo bubu, wananchi bubu, wasomi bubu, tumebaki kulia lia nyuma ya keyboard.
Ndo uhalisia Mkuu
 
Nimehasabu magari nimeishia kuona gari 101, hizo nyingi ni gari za machawa, wanajihudumia wenyewe.
mtu mmoja alipata142 hata kama ni machawa wanaweza wasinunue mafuta lakini wanacho cha kuchukua kwa serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…