sidhani Watanganyika wengi hawana wivu na nafasi ya mtu na hasa katika nafasi ya Urais ila wanatamani kuona ushawishi mnzuri wa matumizi ya mzigo wa serikali wanaoubeba basi.
Mtu mmoja alisema hawa watanganyika hawahitaji uwawekee Ac kwenye nyumba zao bali mazingira rafiki kwa maisha yao ya kila siku.
sasa wakiona matumizi si ya lazima nafsi zao zinaumia hata kama hawawezi kusema.
Kama kulikuwa na uhitaji wa watu wote hao walishindwa kukodi hata costa usafiri unaoweza kuchukua watu wengi kwa pamoja.?
boss angetembea na msafara wake tuliouzoea kisha wengine wangejaa kwenye costa.
tabu kwakuwa tulikuwa mikoa hatarishi kwa kadri ya miungu ya wengi hivyo inawezekana kulikuwa na idadi ya kamati ya ufundi ili mambo yakae sawa.
 
Wacha utoto, humjui Antoinette. Samia ni Rais wetu, tumemchagua. Nji yetu ni kubwa, Kyaka hadi mMikinani kilometa 3000, Holili hadi Tunduma kilometa 3000. Ni sawa ba Nji 6 za Ukaya UK hadi Poland. Anahitaji gari 4 office yake tu, zingine 4 kwa Heads of Depts, gari 5 za Ulinzi. Kaenda Sumbawanga, kuna Wabunge 14 Mkoa wa Rukwa na 20 mkoaxwa jirani wa Katavi na 30 Mkoa wa Shinyanga Tabora na Simiyu. Kuna CRDB, TRA, TANESCO, Ghala la Mazao, Mufti na Askofu watano watano. Na watendaji - DED, DC, RMO, RSO, QRS, XYZ, TRA, na Seminary za Itaga na Kipalapala na Mwazye kwa Pengo. Na Pengo mwenyewe na Mufti kumi kumi na Maparoko 17. Unapata ngapi? Ni Rais wao, wanampenda, lazima waje.
 
duuh
 
Ole wako ukosoe matendo hayo,Chawa lazima wakurarue.Hizo raha wanazojipa hakuna mwanadamu anaweza kibali kuziachia.Wameshika mpini,lazima tuongeze mbinyo kama Wakenya.
Ni kweli Mkuu wanakula starehe hata wasipoenda Mbinguni basi wamefaidi sana.
 
Yanafika 700 hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…