Kazi kweli kweli.
 
Magari 150 kila gari wastani watu 6 bado mabasi yanayo somba wana ccm jumla ni zaidi ya watu elfu 3000 wana pelekwa kwenye mikutano ya ccm ..sababu ya kufanya hivi ni kwamba huyo haramia SA100 hakubaliki hata na asilimia 10% ya watanzania

Gari 150, na kila gari ina watu 6, maana yake ni msafara wa watu 900. Tufanye wanasafiri kishua kila gari watu 4, jumla ni watu 600. Tunapaswa kupunguza idadi ya watumishi wanasafiri na Raisi, pia tupunguze idadi ya magari ya kifahari. Wangeweza kutumia usafiri wa mabasi.
 
Siku akistaafu atawaacha watanzania bado maskini alafu akikumbuka haya matumizi ataandika kitabu kuomba radhi,
Kama kawaida
Nyerere aliomba msamaha
Mkapa alijuta sana
Mwinyi alijuta sana
KIkwete huyu bado anaiba


Dawa ni tuendelee kusomesha watoto
 
Nimehasabu magari nimeishia kuona gari 101, hizo nyingi ni gari za machawa, wanajihudumia wenyewe.
Hawatumii pesa zao mkuu, hizo zote ni kodi zetu yakiwemo hayo magari wanayo tamba nayo.
 
Ni lini tutaondoka a na huu upumbavu ? Hizi gharama za kuendesha huu msafara hazitoshi hata kujenga matundu ya vyoo kwenye mikoa wanayo ongoza kujisaidia vichakani au kwenye shule zenye uhaba wa vyoo ?
Huu msafara wote ni wa nini ? Africans we are FOOLISH AND WAJINGA SANA
 
Haya maajabu utayapata kwenye nchi za Kiafrika pekee. Viongozi wanaishi maisha ya anasa, halafu kutwa wanatembeza bakuli kuomba misaada.
 
Waafrica including you siyo wajinga, wajinga ni watawala. Waafrika wengine wanapambana kujikomboa na utawala usiowajibika e.g. Gen Z
 
Kuna watu wanalipana posho jumla 100m lakini mradi gharama n 10m
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…