Halafu 'mtoza ushuru' mmoja kakutwa na 'matundu ya choo' ya kutosha nyumbani kwake. (Tsh. 7bn).
 
Kwa usahihi... Tanzanians tumezidi ujinga!
 
Mbaya zaidi unakuta kuna msafara wa Rais, Makamu, PM, Naibu, Katibu Mkuu CCM, Mwenge, CDF, Spika, Jaji Mkuu na baadhi ya wakuu wa Mikoa na Wilaya, hii nchi imelogwa siyo bure
 
Ni tabia yetu kupenda safari ukiliona gari la bure, pia tunafurahia misafara ya sherehe.
 
huwezi kuona shida kwakuwa umeshiba vijiposho na wala huumwi na huna wategemezi , na wala umasikini wa wananchi waliokuwa wanapiga hizo picha hujauona ,yaani nyie fiisiiemu mna matatizo sana .
Wote hao wapo na sijashiba ila niambie shida Iko wapi?

Mimi ni raia ,yule ni Rais tunafanana Kwa lipi hasa?
 
Hata ungekuwa ni msafara wa magari 200 kwani Kuna shida gani?

Trump alikwambia msafara wa Rais inatakiwa magari mangapi kabla ya kutawaliwa upya?
Anaye lalamika ni mwananchi anaye gharamia hayo magari kwa tozo na kodi za kishenzi shenzi , hayo hayagharamiwi na pesa za mshahara wa samia na kundi lake, usijitoe ufahamu na muwe na heshima kwa wananchi walio waweka hapo, halafu baadae mmesha iharibu nchi mumezeeka ndio mnajifanya washauri wazuri wakati kwasasa mnashirikiana kutumia pesa hovyo kwa mambo ya kijinga wakati kuna vituo vya afya vikubwa tuu vinahudumia mamia kwa mamia hakuna hata mashine moja ultrasound na kuna watanzania wanakufa kwa maradhi ambayo serikali ingekuwa ina mipango thabit wala wasinge kufa. shwain
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…