Watu walio smart wakishaona sehemu zinazosababisha kushindwa kupata ushahidi kwa wakati wanazipa hizo sehemu kwa kutunga sheria mpya na kuzipa meno na siyo kukataa kuwaachia watu huru kisa umeshindwa kumtia na makosa.

Serikali inakubali tu kwakweli tumeshindwa hivyo unawapa wataalam wako kazi ya kuhakikisha wanarudi mezani tena kuchora namna ya kuwabana na kuwatia wahaalifu...na ndivyo inavyofanyika duniani kote.

Timu ya mpira isiyo kubali makosa iliyosababisha ikashindwa na mpinzani wake hakiwezi kujiboresha na kua mshindi tena hapo baadae.
Ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali na DPP wamekaa ki primitive sana.
 
Nmekuja kugundua, huyu Maza wenu hamna kila kitu

Sanasana anatengeneza mazingira kupokea rushwa.

Kwa stail.hii hata wahujum uchumi, wataachiwa sababu ya kusingiziwa

Alafu akina Mdude wakiendelea kusota
 
Mama piga kazi tumecheleweshwa mno kama taifa
 
Takukuru was very abusive in that case. How could you have 147 bogus court cases?
Hawa wanatumia tax payers money. Where on earth is that allowed?
 
Nchi ikikosa Rais mzuri mifumo yote inakuwa ya kishetani. Akina Igp siro leo wanafanya kazi kwa uhuru kwa mujibu wa sheria za nchi. Wametukosea sana kwa kushiriki maovu na vitendo vibaya wakati wa Ibilisi Jiwe.

Lakini sheria nyingi zilienda fasta fasta na kupita. Mifumo imara inaanzia kwao wawakilishi wetu bungeni
 

Kwamba takukuru ya mwendazake ilikuwa inabambikizia watu kesi?

Hawa wasiishie kufuta kesi tu - hawa ni wa kuwajibishwa.
 
Dawa KWa vyombo vyetu kupunguza kubambikia watu kesi ,ni kupisha sheria ya kutakiwa kumlipa muhusika na alihusika kubambika kesi pale inapodhibitika kesi ya kumbambikiwa KWa muhusika
 
Nyie subirini mzoga wenu ufufuke,,gwajima ndio anaelekea uko kufufua
wee mbwa ndio tafsiri halisi ya wapinzani wa mwendazake.

yaani mtu akikusoma kwa utulivu anahisi jamaa alikulawiti akiwa hai[emoji24][emoji24][emoji24].
 
Waliobambikia watu kesi wamechukuliwa hatua gani?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Hawa Hawaendi Mbinguni
 
Mambo mengine tusipende kuwaonea tu watu.hivi mkuu wewe binafsi ukipewa changamoto na bosi wako unaweza kujiuzulu?
Ili kulinda heshima yangu itanibidi nitekeleze majukumu yangu kwa weledi.....

Iwapo nitaona mkuu wangu Wa kazi ananiagiza mambo ambayo najua wazi yapo kinyume cha maadili ya kazi yangu, nitakuwa tayari kujiuzulu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…