Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Walioko jela sio wote wenye hatia,omba sana Mungu usikutane na ile kadhiaWaizi watarudi mitaani Tu enzi zake zimefika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walioko jela sio wote wenye hatia,omba sana Mungu usikutane na ile kadhiaWaizi watarudi mitaani Tu enzi zake zimefika
Ya Rugemalila na Surinder imefutwa?Au baada ya wale vibaraka wa meko kufukuzwa.
Lowassa je? Alijiuzulu pia mbona..Alijiuzulu Mwinyi peke yake kwenye historia ya nchi hii.
Nchi ikikosa Rais mzuri mifumo yote inakuwa ya kishetani. Akina Igp siro leo wanafanya kazi kwa uhuru kwa mujibu wa sheria za nchi. Wametukosea sana kwa kushiriki maovu na vitendo vibaya wakati wa Ibilisi Jiwe.
Ni lazima tujenge utamaduni wa kujiuzulu pale tunapojua kabisa kuwa maeneo yetu tunayoyafanyia kazi yakiwa yameborongaKujiuzulu sio utamaduni wetu
Hii ni baada ya kutakiwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kuondoa kesi za kubambika.
====
Rais Samia Suluhu: Kwenye suala la wingi wa mahabusu, labda niseme kwamba jana nikiapisha majaji nililigusia hili, uharakishwaji wa kesi na nimezitaka taasisi zote ikiwemo jeshi la polisi ambalo uchunguzi unaanza kwenu kuharakisha chunguzi za kesi mbalimbali zilizopo ili kuharakisha kesi kusikilizwa na iadha kufutwa au mtu kuhukumiwa ipasavyo lakini pia niongee na jeshi la Polisi kupunguza kesi za kubambikiza.
Kuna mlolongo mkubwa wa makesi ya kubambikiza, huu ukipungua na mahabusu watapungua, kwasababu wengi wapo wanasubiri kuhukumiwa, kesi haiendi, ushahidi hakuna, mpelelezi anashindwa kupeleka kesi kwasababu hakuna ushahidi.
Niombe sana, nilizungumza hili na TAKUKURU, wameweza kufuta kesi 147 ambazo waliwabambikizia watu, kwahiyo nanyi Jeshi la polisi jikagueni kama kuna za aina hiyo nazo zifutwe ili tupunguze wingi wa mahabusu kwenye majela yetu.

wee mbwa ndio tafsiri halisi ya wapinzani wa mwendazake.Nyie subirini mzoga wenu ufufuke,,gwajima ndio anaelekea uko kufufua
Waliobambikia watu kesi wamechukuliwa hatua gani?Hii ni baada ya kutakiwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kuondoa kesi za kubambika.
====
Rais Samia Suluhu: Kwenye suala la wingi wa mahabusu, labda niseme kwamba jana nikiapisha majaji nililigusia hili, uharakishwaji wa kesi na nimezitaka taasisi zote ikiwemo jeshi la polisi ambalo uchunguzi unaanza kwenu kuharakisha chunguzi za kesi mbalimbali zilizopo ili kuharakisha kesi kusikilizwa na iadha kufutwa au mtu kuhukumiwa ipasavyo lakini pia niongee na jeshi la Polisi kupunguza kesi za kubambikiza.
Kuna mlolongo mkubwa wa makesi ya kubambikiza, huu ukipungua na mahabusu watapungua, kwasababu wengi wapo wanasubiri kuhukumiwa, kesi haiendi, ushahidi hakuna, mpelelezi anashindwa kupeleka kesi kwasababu hakuna ushahidi.
Niombe sana, nilizungumza hili na TAKUKURU, wameweza kufuta kesi 147 ambazo waliwabambikizia watu, kwahiyo nanyi Jeshi la polisi jikagueni kama kuna za aina hiyo nazo zifutwe ili tupunguze wingi wa mahabusu kwenye majela yetu.
Ilikuwa Awamu Ya Ngapi VileAu baada ya wale vibaraka wa meko kufukuzwa.
Siasa Tu MkuuWaliobambikia watu kesi wamechukuliwa hatua gani?
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Hawa Hawaendi MbinguniHuoni hata leo IGP kajikakamua kusema mapato ya usalama barabarani yamepungua kwa vile watu hawafanyi makosa tena. Akidhani ni ujiko kukusanya fine za barabarani. Mh. Rais kamzodoa kwamba wasitegemee fine kama chanzo cha mapato. Bali watoe elimu watu wasifanye makosa.
Ili kulinda heshima yangu itanibidi nitekeleze majukumu yangu kwa weledi.....Mambo mengine tusipende kuwaonea tu watu.hivi mkuu wewe binafsi ukipewa changamoto na bosi wako unaweza kujiuzulu?