Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaaa, Kesi 147 zote za kutunga!!Hii ni baada ya kutakiwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kuondoa kesi za kubambika.
====
Rais Samia Suluhu: Kwenye suala la wingi wa mahabusu, labda niseme kwamba jana nikiapisha majaji nililigusia hili, uharakishwaji wa kesi na nimezitaka taasisi zote ikiwemo jeshi la polisi ambalo uchunguzi unaanza kwenu kuharakisha chunguzi za kesi mbalimbali zilizopo ili kuharakisha kesi kusikilizwa na iadha kufutwa au mtu kuhukumiwa ipasavyo lakini pia niongee na jeshi la Polisi kupunguza kesi za kubambikiza.
Kuna mlolongo mkubwa wa makesi ya kubambikiza, huu ukipungua na mahabusu watapungua, kwasababu wengi wapo wanasubiri kuhukumiwa, kesi haiendi, ushahidi hakuna, mpelelezi anashindwa kupeleka kesi kwasababu hakuna ushahidi.
Niombe sana, nilizungumza hili na TAKUKURU, wameweza kufuta kesi 147 ambazo waliwabambikizia watu, kwahiyo nanyi Jeshi la polisi jikagueni kama kuna za aina hiyo nazo zifutwe ili tupunguze wingi wa mahabusu kwenye majela yetu.
Shida kwa mtu asiyekuwa mwaminifu hufanya mambo hats maovu iliawezekutengeneza fursa zisizo halali ama kwa mhusika mwenyewe, au kwa ndugu wa karibu wa mhusika wa ubambikaji nao waweza kuwa ni wakukomoa, ama ni lengo la kumega alichokuwa nacho mhusika au familia yake. Hivyo ya faa kuchunguza sababu za bambika hizi keanu zaweza ibua yaliyojificha nyuma yake.Inatakiwa wachukue nafasi zao wao wakakae ndani miaka 6 kusubiria ushahidi kukamilika Ili nao waonje waliyowafanyia wenzao
Tunatesena wenyewe kijinga kabisa.Kwahiyo kesi zote 147 zilikua za kuumiza watu wasiyo na hatia? kweli ngozi nyeusi hatupendani...yaani mtu anaona rahaa kwa mwenzie kupoteza rasilimali zake bila hatia yoyote.
Na kuwalimisha, yeye hawezi kulisha mahabusuShujaa hapo angewaambia police hao mahabusu wapigeni mateke.
We endelea na harakati zako huko uliko ya hapa tuachie wenyewe
Waizi ndiyo wamebambikiwa kesi?Waizi watarudi mitaani Tu enzi zake zimefika
Naskia mmempa ya madawa ya kulevya, kuweni na huruma kidogo bwashee.Kesi ya Mdude iko mahakamani tofauti na kama ile ya Nusrat Henje!
Wamepiga pesa nyingi Sana hawa watu sema tu Utawala wa kulindana tuShida kwa mtu asiyekuwa mwaminifu hufanya mambo hats maovu iliawezekutengeneza fursa zisizo halali ama kwa mhusika mwenyewe, au kwa ndugu wa karibu wa mhusika wa ubambikaji nao waweza kuwa ni wakukomoa, ama ni lengo la kumega alichokuwa nacho mhusika au familia yake. Hivyo ya faa kuchunguza sababu za bambika hizi keanu zaweza ibua yaliyojificha nyuma yake.
Mkuu hata sheria nzuri zilizopo zilikiukwa kwa visingizio vya kunyoosha nchi.Kwakweli Samia suluhu amejifunza mambo mengi kupitia mapungufu ya mtangulizi wake. Hapendi kuendeleza mabaya. Tutarajie hata sheria kandamizi hapo mbeleni zitakuja kupelekwa Bungeni kwa marekebisho
Awe mvumilivu kidogo hii ni awamu ya 6!Naskia mmempa ya madawa ya kulevya, kuweni na huruma kidogo bwashee.
Acha siasa za mwendazake basi. Badilika. Si unaona akina Sabaya wanaishi kama fisi hivi sasa?We endelea na harakati zako huko uliko ya hapa tuachie wenyewe
Wewe endelea na harakati zako huko ulipo