Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni
Achana na mihemko ya kisiasa isiyo na tija kwa Taifa Yanga hawapitishi bakuri ujenzi wa uwanja. umeathiriwa na uongo wa enzi zilizopita fanyeni kazi hakuna kujipendekaza hapa.
 
Ni aibu kubwa wasakata kabumbu wa Yanga na Simba wakawa na umoja na nguvu kiasi cha kujenga ofisi za chama

Sisi kama wadau demokrasia na maendeleo inatupasa kujenga jengo la ghorofa tatu kama ofisi ya makao makuu.

Nawasilisha.
Wewe mbwiga mbona unawasha sana na mambo ya Chadema? Huko CCM hamna mada za kujadili hadi kila wakati kuhangaika na Chadema? Koma kabisa !!!

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Ni aibu kubwa wasakata kabumbu wa Yanga na Simba wakawa na umoja na nguvu kiasi cha kujenga ofisi za chama

Sisi kama wadau demokrasia na maendeleo inatupasa kujenga jengo la ghorofa tatu kama ofisi ya makao makuu.

Nawasilisha.
Kianzio ni million 100 toka kwa mzee Sabodo, kama mbowe na genge lake la wapenda pesa hawajaitafuna!
 
Ni aibu kubwa wasakata kabumbu wa Yanga na Simba wakawa na umoja na nguvu kiasi cha kujenga ofisi za chama

Sisi kama wadau demokrasia na maendeleo inatupasa kujenga jengo la ghorofa tatu kama ofisi ya makao makuu.

Nawasilisha.
Kipaumbele cha CHADEMA kwa sasa sio ofisi, ni katiba mpya. Ofisi zisubiri kwanza. Muda wake ukifika zitajengwa tu!
 
Ni aibu kubwa wasakata kabumbu wa Yanga na Simba wakawa na umoja na nguvu kiasi cha kujenga ofisi za chama

Sisi kama wadau demokrasia na maendeleo inatupasa kujenga jengo la ghorofa tatu kama ofisi ya makao makuu.

Nawasilisha.
Wewe mataga mambo ya Chadema yanakuhusu nini?

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kwa muda mrefu nimekua nikijiuliza ni kwa nini chama kikubwa kama CHADEMA hakina ofisi nzuri ya Makao Makuu. Kwa muda mrefu Chama kimekua kikiendelea kujibana pale mtaani Kinondoni kwenye jengo la zamani na dogo sana. Kwa yeyote anayejua kwa nini hili linaendelea atuambie hapa.

Nafikiri uongozi wa CHADEMA wakiomba Wanachama wachangie ujenzi wa ofisi nzuri ya Makao Makuu, inawezekana kabisa.
 
Unataka wajenge ofisi nzuri kwani wamekwambia wanataka kuikopea mkopo benki!
 
Tumefanya mistake kubwa sana maana huu ni usaliti kwa wapigania haki na waponga ufisadi.

Yaani tunalambishwa asali na kusahau mapambano ya haki.

Tumuombe chief Hangaya na CCM yake watujengee ofisi yetu.

20220620_013710.jpg
 
Tumefanya mistake kubwa sana maana huu ni usaliti kwa wapigania haki na waponga ufisadi.

Yaani tunalambishwa asali na kusahau mapambano ya haki.

Tumuombe chief Hangaya na Ccm yake watujengee ofisi yetu.View attachment 2266080
Akili zako huwa kama una wazimu tu.Sasa umeshachagua chumba utakachonyonyeshea hao watoto wako uliowazaa uzeeni na sehemu ya kubadilishia sidiria!Merde!
 
Back
Top Bottom