Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, wakikuonyesha angalau kiwanja tu unitag!utawajibika kuwaonyesha wananchi eneo lakujenga ofisi ya Makao Makuu.
Kweli chadema itajengwa na wenye moyo.Mhe. Mbowe unapozunguka mikoani kuzindua ofisi ya chama za majimbo usiasahu hitimisho la safari hii litakuwa Dodoma au Dsm au Pwani na utawajibika kuwaonyesha wananchi eneo lakujenga ofisi ya Makao Makuu.
Nikuombe fanya ufanyavyo ila unapohitumisha operesheni hii ya Chadema digital make sure unawapa taarifa wanachama na wapenzi wa mageuzi nchini ni wapi tutajenga ofisi au endapo Kuna jengo lenye kufaa kuwa ofisi za makao makuu Basi waambie wananchi ni shs ngapi inahitajika kununua eneo hilo.
Uliahidi kung'atuka 2023, tusingependa Watanzania wafanye sherehe wakiwa hotelini, Bora katika kiwanja hicho utakachozindua tuweke tents lakini tuweke nia ya dhati kwamba shughuli zote za chama zitafanyika kwenye ofisi tulizojenga wanachama na siyo ulizojenga wewe Wala ruzuku. Wananchi wanataka kuona Wana eneo wanalojua Ni lao na liliwasaidia kutafuta ukombozi wa pili taifa lao.
Jengo ambalo ni Mali ya chama na wanachama litalindwa kwa nguvu zote kuliko kutuachia ofisi ya kupanga ufipa.
Tuanze Sasa na amini maneno yangu, Jambo hili litafanikiwa kwa asilimia kubwa kwa sababu Sasa hivi wapo ccm wanaohitaji Chadema imara ndipo waheshimiwe. Kukosekana kwa Chadema imara kunawafanya waliopo juu ya CCM kujiamulia wanavyotaka. Fedha za kujenga wananchi wanazo na ndani ya miaka miwili kuelekea 2023 tuna amini tutakuwa na makao makuu ya chama hiki hata Kama ni nyumba Kama madarasa ya shule za kata lakini Ni makao Makuu.
Zingatia na fanyia kazi kwa ustawi wa Chadema lakini pia kwa legacy yako kwa vizazi vijavyo.
Wanadhani Chadema ni majengo😅😅Sijui ikijengwa offisi ya makao makuu vijana wa Mwendazake watakuja na hoja gani nyingine.
Naunga mkono hoja tukusanye hata billion 5 tujenge mgorofa wa kisasa.
Point kubwa sana hiiUmewaza vizuri sana mjukuu, naomba kuongeza tu zoezi la kuanza kujenga Makao makuu liende sambamba na kuanza kutekeleza sera ya majimbo au kanda kwa kila mwenyekiti wa Kanda kutafuta kiwanja na kuanza kujenga hata Kama zitakuwa two rooms lakini kila Kanda iwe na eneo kumbwa la ofisi.
Structures zina nguvu kubwa sana katika kukamilisha msukumo wa ndani wa binadamu wa kuamini na kufuata anachoaminishwa. Leo ukitaka kuoa lazima uonyeshe nyumba, uwezi kuoa ndipo ukatafute Kodi ya pango au kuwaza kujenga. Unayemwoa lazima ajue ataenda kuishi wapi na lazima awe na eneo ambalo wakwe wanalifahamu ili mtoto wao anapopata tatizo wajue pKuanzia.
Mnataka tuwape madaraka tuonyesheni kwamba mna makazi ya kudumu. Tuonyesheni nyumbani ambapo tutakuwa free kuingia na kumtoa mpangaji yeyote ambaye tutamwona hatufai. Tuonyesheni dira tujichange tujenge eneo ambalo litatupa nguvu ya kuwaamini na kuwawajibisha.
Mwenyekiti tekeleza
Chadema ni mali ya umma kamanda. Hujui lolote.Hizi akili hizi,badala ya kuuliza kwanini serikali inaendelea kumwaga pesa atcl wakati shirika linaendelea kupata hasara. Wewe unauliza milioni 100!ATCL hasara yake imefika biliioni 400!
Pale hazina na Tasac Kuna vidume vimekula zaidi ya milioni 500! Kwa kukaa vikao tu!!na hakuna aliyechukuliwa hatua.
Hizo millioni 100 walizopewa Chadema, ni pesa binafsi, sio za umma.
He?Gaidi hawezi acha huo mpunga uzagae pale ufipa. Atakuwa kasha ushughulikia zamani.
"CHADEMA ni pesa binafsi" mmmh!Hizi akili hizi,badala ya kuuliza kwanini serikali inaendelea kumwaga pesa atcl wakati shirika linaendelea kupata hasara. Wewe unauliza milioni 100!ATCL hasara yake imefika biliioni 400!
Pale hazina na Tasac Kuna vidume vimekula zaidi ya milioni 500! Kwa kukaa vikao tu!!na hakuna aliyechukuliwa hatua.
Hizo millioni 100 walizopewa Chadema, ni pesa binafsi, sio za umma.
Hapana hapana hapana tuna haki ya kujuwa mbowe alizipeleka wapi hizi hela tukiwaambia Mbowe mpigaji mnamtetea kama mnavyoamini sasa hivi hawezi kuwa gaidi aliwezaje kula hela yote hiyo lakini na nyie Chadema kama mmelogwa na mbowe kweli hamuwezi hoji hizo hela ziko wapi?Hizi akili hizi,badala ya kuuliza kwanini serikali inaendelea kumwaga pesa atcl wakati shirika linaendelea kupata hasara. Wewe unauliza milioni 100!ATCL hasara yake imefika biliioni 400!
Pale hazina na Tasac Kuna vidume vimekula zaidi ya milioni 500! Kwa kukaa vikao tu!!na hakuna aliyechukuliwa hatua.
Hizo millioni 100 walizopewa Chadema, ni pesa binafsi, sio za umma.
Zamani sana wamebaki kina Erythrocyte wanashabikia wazungu mahakamani wacha angalau alipe kidogo huko mahabusuGaidi hawezi acha huo mpunga uzagae pale ufipa. Atakuwa kasha ushughulikia zamani.
ULISIKIA MTU ANALALAMIKA ZIMELIWA KAMA ZA OFISI ZA SABODO?Tuanze kwanza na million 200 zilizotolewa na Hayati Hamza kwa ajili ya shuhuli za CCM.