KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,520
- 2,816
Hahaha mpango feki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahahaaaaa nae ni dikteta tu kama Iddi Amini
acha utani bana hii ni hotel ya ......... kwanza unaposema ramani hii ndio ramani? au umeggogle ukatumbukiza tu?? usipoteze watu wakadhani unaongea kweli kumbeumekosa cha kuleta humu JF. kama huna cha kuleta bora upige kimya. ofisi gani kila chumba kina choo???
IYO OFISI MTAISHIA KUIONA KWENYE POWER POINT PRESENTATION
Hongereni kwa kujikomboa. Ofisi hii inajengwa wapi? DSM au DODOMA au MOSHI? Majibu please kutoka kwa authority.
wanaume wakijadili mambo yao mwanamke unapaswa utulize tako....Risasi ya nini wewe unapigwa mti tu.
Jifunze machache katika kuandika...Wivu ni kitu kibaya sana....,
Ahahahaaaa haachii kudadeki
Hatimaye iitwayo saccoss imeamua kuwa na ofisi zake? Wanajengea makao makuu au kwenye mji wa biashara?
Kama tulivyoishia kuiona Tanzania ya viwanda??IYO OFISI MTAISHIA KUIONA KWENYE POWER POINT PRESENTATION
Na vile watu hawajui Ku reason utawakamata wengi kweli kweli..... hiyo ni ramani ya hoteli ndugu..acha upotoshaji
Ayaaa, leo nimepewa heshima ya kuitwa mpumbavu. Bila shaka aliyenipa naye ni kama Mimi, maana wanasema waarabu wa pemba hujuana kwa viremba. Asante mpumbavu mwenzangu(tena wewe bila shaka una cheo Cha uenyekiti wa wapumbavu). TehUnajua ukiwa mjinga na mpumbavu unakuwa na sifa zile zile za wajinga na wapumbavu wenzako!!
Hivi umewahi kujiuliza swali ni vitu au mali kiasi gani ambazo zimeporwa na lile genge la ccm toka kwa wananchi na wawekezaji mbali mbali?
Ardhi, viwanja vya michezo, majengo, rasilimali fedha, uhai wa watu, mashamba, n.k?
Niko tayari.kuchangia kwa uwezi wangu
Ayaaa, leo nimepewa heshima ya kuitwa mpumbavu. Bila shaka aliyenipa naye ni kama Mimi, maana wanasema waarabu wa pemba hujuana kwa viremba. Asante mpumbavu mwenzangu(tena wewe bila shaka una cheo Cha uenyekiti wa wapumbavu). Teh
Hata ikijengwa kwanza itakuwa mali ya mwenye SACCOS ,Dj Kim Il Sung mwenyekiti wa maisha,halafu kandarasi yote ya ujenzi ni yake yeye mwenyewe Mwenyekiti wa maisha.Wajinga ndio waliwaoHatimaye iitwayo saccoss imeamua kuwa na ofisi zake? Wanajengea makao makuu au kwenye mji wa biashara?
Kujengwa wapi?
Hata ikijengwa kwanza itakuwa mali ya mwenye SACCOS ,Dj Kim Il Sung mwenyekiti wa maisha,halafu kandarasi yote ya ujenzi ni yake yeye mwenyewe Mwenyekiti wa maisha.Wajinga ndio waliwao
Hivi Mbowe ndio aliyejenga Uwanja wa Ndege wa Chato ? mchakato wake unaufahamu ? je ujenzi wake uliidhinishwa na bunge la Tanzania kama katiba inayoelekezwa ?Hata ikijengwa kwanza itakuwa mali ya mwenye SACCOS ,Dj Kim Il Sung mwenyekiti wa maisha,halafu kandarasi yote ya ujenzi ni yake yeye mwenyewe Mwenyekiti wa maisha.Wajinga ndio waliwao