- Thread starter
- #61
Mbowe hana haja ya kujenga jengo ili achaguliwe alivyoijenga Chadema kimuundo na kitaasisi ni zaidi ya jengo la matofali.Kampeni hewa ya mbowe hiyo kutaka aendelee kupewa uenyekiti chadema.Uchaguzi mkuu wa chadema uko njiani.Sasa hivi utasikia kila Aina ya propaganda za chadema sijui kufanya hiki sijui kufanya kile vyote hewa hewa tu kuwalaghai Wana chadema