Chachasteven
JF-Expert Member
- Jul 4, 2014
- 1,941
- 2,044
Probably his/her lucky charm.Mkuu kila nikiona comment yako naona lazima um-cc mahondaw
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Probably his/her lucky charm.Mkuu kila nikiona comment yako naona lazima um-cc mahondaw
Tulia weeHahahaa....... Lands muombe msaada kwa mfalme was Morocco!
Ponda Ponda kaziniMbona jengo limekaa kizamani kabla halijajengwa?
Tafuteni wabunifu wa majengo ya kisasa, achaneni na ushamba huo. Madirisha utafikiri jengo lote ni la vyoo.
Mwaka 2019 huu. Mko wapi? '60s?
Awamu ya 5 imebakiwa na siku chache sana , ondoa hofuafisa mipango mji na mkuu wa wilaya atakayeruhusu huu ujenzi atajutia maisha yake yote na atapotezwa kabisa
Hiiii ngoja nishangae kisukumaChadema hii ya Tz au Ile ya kule Somalia?
My dear Sky Eclat jengo lilivyokaa ka mlundikano wa choo ndogo ndogo nyingi
hahhaha hiyo ni ramani ya hotel au ofisi ya makao makuu? hahAHAHA
Kwa sababu wewe ni mavi.Naona choo tu
Kila wanachokifanya chadema vijana wa mapinduzi wa pale lumumba huwa hawa amini japo wana jealous kuwa chadema hawana ofisi zao kama ccm wana matawi huku wakiacha cuf
Risasi ya nini,miti tu itakutosha.hili jengo likijengwa naomba mnipige risasi
Kwani umeombwa mchango?Tayari JIwe katajwa uzi hata Hauna mahusiano naye. Aibu hiyo. Swali hapa ni fedha zitatoka wapi.
Mbona hiyo iliyopo mnailalamikia kuwa ni ya zamani, hii haijajengwa bado, bado mnaihukumu ya zamani. Binadamu kweli hawana jema.Mbona jengo limekaa kizamani kabla halijajengwa?
Tafuteni wabunifu wa majengo ya kisasa, achaneni na ushamba huo. Madirisha utafikiri jengo lote ni la vyoo.
Mwaka 2019 huu. Mko wapi? '60s?