Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni
Kama ni kweli, hilo jengo liwe na uwezo wa kuzuia mabomu.
 
Hii lazima itaendelea kuchelewesha uchaguzi wa Mwenyekiti wa kudumu.
 
Hii itakuwa kali kuliko zile ofisi za chama cha majambazi zilizopo makao makuu dodoma.

Umenena vyema. Ila swali fedha hizo zinatoka wapi. Jambazi ni nani anayetoa anayepokea. Mama anayevaa kanga za Mtoto wake jambazi na akijua kuwa Mtoto Wake jambazi , anakuwa culpable au hapana.
 
Mmeshindwa kunenga nyakat zile mnapata mamilion ya ruzuku, mtajenga sasa wabunge weng wamewakimbia na kupunguza ruzuku? Jitahidin mjenge angalau choo maana next election mnamalizika
Ndio umeandika nini sasa? Kama unakiri tunajenga sasa hivi wakati hakuna ruzuku huoni ni hatua?
 
hahhaha hiyo ni ramani ya hotel au ofisi ya makao makuu? hahAHAHA
 
Back
Top Bottom