Tunawanachama na wafuasi kama milioni mbili.

Sasa kama tukichana elfu kumi kumi tuna uhakika wa kupata bil mbili.

Bil mbii tunasimamisha jengo la maana kabisa.

Au tukichangishana zitatafunwa kama tulivyotafuna pesa za mzee Sabodo?
 
Labda kuna percent kwenye kukodi kumbi za mahoteli. Hawako serious na siasa.
 
Tunawanachama na wafuasi kama mil mbili.

Sasa kama tukichana elfu kumi kumi tuna uhakika wa kupata bil mbili.

Bil mbii tunasimamisha jengo la maana kabisa.

Au tukichangishana zitatafunwa kama tulivyotafuna pesa za mzee Sabodo?
Tumekubaliana kabisa office zetu zipo moyoni jamani
 
Umeongea jambo la msingi japo upo upande wa pili. Viongozi lifanyieni kazi hili ni aibu kuwa na ofisi kama ya jogoo pale manzese r.i.p mrema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…