Unakunywa za kugongea TU kwani hujawahi kuwa na uwezo wa kujinunulia hata mihogo pale Lumumba! Ulevi nao ni WA kujisifia? IQ Yako imejidhihirisha kuwa ndogo Sana hapo kwenye kujisifia ulevi!Nipo mahala hapa nashushia lager
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakunywa za kugongea TU kwani hujawahi kuwa na uwezo wa kujinunulia hata mihogo pale Lumumba! Ulevi nao ni WA kujisifia? IQ Yako imejidhihirisha kuwa ndogo Sana hapo kwenye kujisifia ulevi!Nipo mahala hapa nashushia lager
Huu sio ulevi bali ni kusocialize tuUnakunywa za kugongea TU kwani hujawahi kuwa na uwezo wa kujinunulia hata mihogo pale Lumumba! Ulevi nao ni WA kujisifia? IQ Yako imejidhihirisha kuwa ndogo Sana hapo kwenye kujisifia ulevi!
ofisi si ipo kwenye mioyo ya wanachama?,alafu acha zengwe.Sisi Chadema unatuhusu?
Kwa hiyo nyaraka za Chama zipo mioyoni kwetu? Vipi kuhusu kumbukumbu muhimu za kiofisi? Umezitunza moyoni kwako?ofisi si ipo kwenye mioyo ya wanachama?,alafu acha zengwe.
Hujui kitu kuhusu socialization wewe mlevi! Sema huna pa kulala utaeleweka!Huu sio ulevi bali ni kusocialize tu
😄😂Hujui kitu kuhusu socialization wewe mlevi! Sema huna pa kulala utaeleweka!
vinatunzwa kwa bamkwe kule.nimekwambia acha zengwe mbona mtata sana wewe kiumbe wa Allah!Kwa hiyo nyaraka za Chama zipo mioyoni kwetu? Vipi kuhusu kumbukumbu muhimu za kiofisi? Umezitunza moyoni kwako?
Arusha?vinatunzwa kwa bamkwe kule.nimekwambia acha zengwe mbona mtata sana wewe kiumbe wa Allah!
😂Duh...!, kamanda...!.
P
acha maswali yako,kwanza tuna msiba tumefiwa na katibu wa kanisa letu la free strees la mtume Masanja.Arusha?
Umetokea wapi?Chadema inauwezo wa kuwa na ofs Bora; Ila viongozi wanaona Bora kuwa na ofs chakavu!! Kama njia ya kuaminisha uma kuwa sio wezi wa mali za serikal na pia hawana pesa, ili wananchi waweke taswira kuwa ata ccm inendelea kwa sababu wanatumia mali za serikal:
Watakwambia wao watapambana na rushwa 😁😁hako kajengo kamegharimu tshs 116mil, aisee!!!