Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni
Habari wadau..

Chadema wanatia aibu Sana yaani kwa vijengo hivi vya Ofisi ndio wanashangilia na kujipiga kifua 😜😜
Acha kumbwela mbwela.
Hii ni nchi ya chama kimoja.

Hatutaki vyama vingi mpaka mwisho wa dunia.

Tunataka chama kimoja kama urusi na china
 
Huwezi kua na akili timamu ukaamini hapo imetumika 116M na ukaiamini hiyo taarifa
 
Habari wadau..

Chadema wanatia aibu Sana yaani kwa vijengo hivi vya Ofisi ndio wanashangilia na kujipiga kifua 😜😜.

Jengo Ni baya Kama Godown/Store ya kutunzia Dagaa.

Kama mnavyojua muonekano wa nje wa kitu huakisi uwezo wa Akili na hulka yake..

Kama Ofisi tuu zimewashinda hiyo Nchi wataiongozaje?👇

Hiyo ofisi haijajengwa kwa fedha za chama au serikali, bali ni michango ya hiari ya wanachama wake. Kama sio bei hiyo waliochanga pesa ndio wanapaswa kuhoji kuwa thamani ya ofisi haiendani na jengo husika. Au umekuja kupunguza mashambulizi yal mabehewa ya treni ya mgao wa umeme?
 
Chadomo haina ramani za majengo yake ya ofisi za wilaya?

Kwa hiyo Hilo ghala ndio la mil.116? 😜😜😜😜😜
 
Back
Top Bottom