minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Mama aongee na mbumbumbu juha zuzu vilaza huko huko, lakini kwa wale walioamka tutaendelea kumlaani ile ile laana ya kuishi bila mmeTusaidie kuwaambia maana watufanya Sisi mapoyoyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama aongee na mbumbumbu juha zuzu vilaza huko huko, lakini kwa wale walioamka tutaendelea kumlaani ile ile laana ya kuishi bila mmeTusaidie kuwaambia maana watufanya Sisi mapoyoyo
Umewaza kama Mimi, haiwezekani mtu adhamirie kupiga kiuno na miguu tu halafu aseme alitaka kuuaLissu itakuwa alipigwa risasi na Wadeni wake au alikua anachukua wake za watu, ndiyo hayo matatizo kajisababishia!!
mh, haya bana.Tundu alishambuliwa na hao aliowatuhumu na sasa analindwa na mungu pamoja na malaika
Dah! Hapa Sasa ndo nagundua kumbe najisumbua tu kukujibu..😅Mlitaka afe kwa risasi zenu kwa sababu Mungu ni mkuu kamponya kuwaonyesha Mungu ni mkubwa kuliko madaraka yenu.
Nyoyo zenu zimejaa Sonona kwa Mungu kuwaumbua na huo unyama wenu, miili yenu mizima lakini nyoyo zenu zimekufa kwa kujitwisha Uungu wa kutoa uhai wa wenzenu.
Mnachopaswa kutambua Mungu ni mwema sana.
Sawa, Ila nikukumbushe tu, anaweza asiwe miongoni mwa wanaoshabikia hili tukio, Ila akawa shetani kwa namna nyingine tofauti.🚶 Pengine wewe pia kwa namna moja Ana nyingine, Ni shetani usiejijua.Haya co maneno yangu kama unayataka yapo ktk suratinnaasi, ukiona binaadamu yoyote anashabikia lile jaribio la mauaji kwa namna yoyote ile ujue huyo hana tofauti na shetani
Mama kumbe nae chenga tu
=======
Mama Samia Suluhu Hassani ambaye ni mgombea mwenza wa kiti cha urais kupitia Chama cha Mapinduzi(CCM) amesema kuwa anawaomba wafanye kampeni kwa amani wakipita wawasikilize wala wasigombane nao.
Amesema kuwa wapo wagombea watakwenda kuwaambia kuwa walivunjwa miguu na mwingine alimsikia akisema kuwa alipigwa risasi 16.
''Watakuja kuwaambieni wameunjwa miguu lakini waulizeni ilikuwaje wakavunjwa miguu, wengine jana nilisikia mmoja anasema amemimiwa risasi 16 nataka niwaambie huyo sio askari wetu wa serikali ya chama cha Mapinduzi, askari wetu akipiga mtu tatu akamkosa atawajibika sikwambii askari aliefundishwa akapiga 16 huyo mtu atoke mzima".
Lakini mama kasema kweli risasi 16 kwa ashari mwenye mafunzo ni ngumu aisee...
Daaaah🤔..!Unataja bunge lipi?
Majambazi kama Akwilina! Tafakari kabla haujaandika.Raia wema hawawezi kumalizwa, yatamalizwa majambazi, na wale wote wasiolitakia mema taifa Hili..!
Daaaah[emoji848]..!
Nafsi inakusuta law kutetea uovu ili upate mkate tu.Dah! Hapa Sasa ndo nagundua kumbe najisumbua tu kukujibu..[emoji28]
Kazi ipo
Hayo ni mambo yake binafsi hayakuhusu kabisa, kaishi na mume, na paka au mbwa huwezi kumpangia, kaja kukulia shida?Mama aongee na mbumbumbu juha zuzu vilaza huko huko, lakini kwa wale walioamka tutaendelea kumlaani ile ile laana ya kuishi bila mme
Huyu mama akitaka tuanze kutaja msululu wa ndoa zake zilizovunjika tutakuwa tayariNaunga mkono hoja huyu mama ajibiwe jukwaani wazi hadharani.
Waione wahusika Erythrocyte G.sam na wengine.
kwanza Mume wa huyu Mama yuko wapi tumpe pole za dhati?Pesa za mazingira pesa za kero za muungano hutengwa kila mwaka zinaenda wapi? anzia hapo kwani kero bado zipo na uchafuzi wa mazingira umezidi maradufu
Mama Samia kakosea sana heri akatubu ?Hahahahaha. Katika akili ya kawaida waliotaka kumuua Lissu hawangeweza kuonesha kwamba wao profesheno katika mambo hayo. Walipiga risasi ovyoovyo ili ionekane ni watu wasiokuwa wataalam ili vyombo vya dola visiwe implicated. Infact Lissu alipona kimiujiza na kupona kwake kulitokana na namna alivyojiposition kwenye gari.
Sawa. Tukibali basi sio polisi wa CCM walihusika. Je, kwa nini serikali hawakuhakikisha wanawapata hao wauwaji ili wajivue lawama hizi?
Huyo Mungu wako na asikitike kwa kuwa na kiumbe kisichokuwa na ufahamu timilifu na kinachoandika kitu kisichojua.. n.b mi nipo CHAUMA!.Nafsi inakusuta law kutetea uovu ili upate mkate tu.
Mungu ni mwema