Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Basi safi,mie napenda tuifanye mijadala hii kama sehemu ya kuelimishana wala isiwe kuchukiana.
Hata hivyo wewe unafahamika kama Pro NATO msataarabu na muungwana sana.
Ni vile humu lazima uwe na upande ktk pande mbili ila ningetamani nifahamike kama mtu asiyependezwa na uamuzi wa Putin bila kuniatach na upro. Ila ni sawa tu kwa maslahi ya mjadala twendeni hivyo hivyo.πŸ˜ƒ.
 
Viva Russia kwa balance ya ulimwengu

Tulimtegemea sana kwenye balance ya dunia ila ameonyesha alivyo hovyo, kainchi kadogo jirani yake hapo kamemtoza makamasi mpaka ameomba msaada kwa wastaafu na wapiganaji wa kigeni.
Sasa hivi duniani tumeanikwa vibaya mno, hata waarabu na dini yao walikua wanamtegemea Mrusi na ndio maana wengi wenu bado mna matumaini kwa Putin ila ameishiwa pumzi.
 
Kule luhansk na Donetsk Ukraine ndio ipasahau kua nchi yake, na wakianza kuleta ***** ***** watapigwa tena watapokwa na majimbo mengine. Msaada pekee kwa Ukraine ni marekani na EU na kama unaona uzuri jamaa wanampotezea kiaina
Russia hana jeshi la kuweza kushinda vita hivi ni propaganda tu hadi mwezi wa nne unaanza.
 
Mkuu Proved ProPutin hawataki kuamini kwamba Russia kachapika Ile mbaya huko ukraine kinyume na malengo na matarajio yakeπŸ€”
Ila Bro unateseka sana Moyoni Mwako. Roho inakushuhudia dhahiri jinsi mlivyovuliwa nguo lakini UNASHUPAZA SHINGO. Acha kuubebesha Moyo yasiyohalisi. Achilia huo mzigo otherwise UTAPATA PARALYSIS hivihivi
 
Wanaanza kuvurugana huku wadau πŸ˜‚

Songa nayo...
πŸ‡΅πŸ‡±πŸ‡©πŸ‡ͺPoland and Germany quarreled over the supply of tanks to Ukraine.

Warsaw demands that Berlin send tanks as soon as possible
, in return for those given to Kiev.

However, the Germans are in no hurry to supply their Leopard to the Poles, since the Bundestag itself does not have enough equipment, Der Spiegel reports.

Not so long ago, Poland handed over to Ukraine about 200 old T-72M1 and T-72M1R tanks.

By the way, many of them were not quite in good condition, which they complained about in the APU.

It is possible that this explains Warsaw's eagerness to give them to Kiev as soon as possible and get new ones from Berlin, so also for free.
 
Hivi vita Russia ndiye atakaye poteza, hataweza kuikalia ardhi ya Ukraine kama anavyofikiri. Kuna kinachopangwa kufanywa dhidi yake na ndio itakayommaliza kabisa.
 
Vikwazo alivyowekewa Russia,vinaziathiri nchi zote duniani,USA ikiwemo!
Wakulima wa US wanalia Kwa kukosa mbolea Toka Russia ambayo ni affordable na walikuwa wanaipata Kwa quantity kubwa!
Halafu kauli ya Urusi imekuja baada ya UN,EU na US wenyeww kulalama kwamba Putin anatumia chakula kama silaha ya vita,ndio akawajibu kuwa kabla ya kumshutumu basi waangalie wamemwekea vikwazo vya aina gani!
So unapoleta habari,ilete ilivyo bila kuipiga msasa!
 
Mhariri wa New York Times atoa ushauri kwa Ukraine na Zelensky amefahamu.
In an editorial, The New York Times reported that Ukraine's victory in the war with Russia now looks unrealistic and that Ukraine may have to cede its territories.
Raisi Zelensky ametoa rai kuwa arejeshewe askari wake waliojisalimisha Mariupol kwa kubadilishana na askari wa Urusi.Sijui ataishiaje Urusi akikataa wazo hilo kwani wale wa Azovstal ndio ilikuwa uti wa mgongo wa jeshi la Ukraine. Huko kwengine wamebaki kuruta pekee wakisikia mvumo wa kombora la kirusi wanakimbizana majumbani kwao.
 
Afadhali ameelewa somo.
 
Si tulikubaliana tunachukua kile kipande kinachotupendeza? Well mm kimenipendeza hako ka kipande ka kutaka vikwazo vitolewe. Hivyo vipande vingine nikivileta sasa si nitakuwa najishambulia? Au hujui kuwa Putin mm namuombea afeli arudi Urusi?
 
Ukraine kupigwa na Urusi si habari, habari ni Ukraine kuipa upinzani Urusi.
Mlokozi.
Tunamsubiri Puttin aache kutumia makombora aje asimame na Z wapigane mshindi apewe ardhi.
Unataka kumuua zele , hujui Putin ni mpiga judo hatari Sasa umpambanishe na msanii Zele πŸ€£πŸ€£πŸ€£β€ΌοΈ
 
Dondoo muhim tu wadau...

Songa nayo...
πŸ‡ΊπŸ‡¦πŸ‡ΊπŸ‡ΈCongressman Chip Roy said that the Senate should be ashamed of allocating $40 billion to Kiev.

With these words, he spoke on the air of the American TV channel Fox News.

"There is no excuse for this β€” to give money that we do not have, during rampant inflation in our country!", β€” said the politician.

Washington, in his opinion, pours gasoline, "at $5 per gallon, into the fire of inflation for hard workers across the country."

The Republican from Texas added that he voted against sending $40 billion to Kiev, believing that internal problems need to be solved.

However, President Biden did not agree with this. Today he signed a law on the allocation of $40 billion to Kiev. πŸ˜‚
 
Da Pro Russia Kuna kitu nimejifunza.
Kwa mijadala kama hii,kwa nondo hizi mnazozitoa,aisee Kuna jambo la kitabiabama sijui niseme kisaikolojia nimejifunza .
Sijui kama ntaeleza vizuri.

Kumbe mtu kuamua kuchagua ama. Kujikuta uko upande Gani Ni suala la kitabia na kimaumbile zaidi.

Kwa jinsi ulivyo hangia hapa,kwa kuchangia ama kujibu hoja ya mdau najinsi Pro Russia wengi wanavyochangia na jinsi Pro USA wengi wanavyochangia nimegundua kwamba.

USA na west ni nchi zenye majivuno,dharau,kiburi,jeuri,matumiazi ya nguvu na mengineyo.
Hivyo hata Mashabiki wake wengi wanapenda tabia hizo.
Ndo mana utaona USA hata maamuzi yake mengi ni kama nilivoorodhesha.
Kupenda aonekane ana nguvu ama za kijeshi na kiuchumi,maamuzi yake mengi ni jeshi ama vikwazo,yeye mazungumzo kwake hua ni kidogo sana,ukimshinda kwa hoja jiandae kwa kipigo.

Njoo upande wa Urusi hata china na wenzao.wao ni hoja zaidi,kutokupoenda kutumia nguvu wala vikwazo,kupenda maridhiano na mijadala.
Angalia mgogoro huu,Urusi alianza kuisihi mda mrefu mno USA isizidi kuitanua NATO kuelekea kwake USA ikawa mbishi ,kiburi na dharau.
Mizozo mingi Urusi na china na wenzake wametaka.kuimaliza kwa mazungumzo.

Nataka kusema nini Sasa.
Kumbe mtu anajikuta Yuko kundi au upande Fulani kutokana na tabia za Upande huo kumvutia kulingana na tabia zake.

West - nguvu,ubabe,majivuno,kiburi,dharau,kujiona wanajua Kila kitu.

East - heshima,usikivu,majadiliano,upole,uungwana,kumshirikisha,ubabe,nguvu.
 
Si tulikubaliana tunachukua kile kipande kinachotupendeza? Well mm kimenipendeza hako ka kipande ka kutaka vikwazo vitolewe. Hivyo vipande vingine nikivileta sasa si nitakuwa najishambulia? Au hujui kuwa Putin mm namuombea afeli arudi Urusi?
πŸ˜€πŸ˜€,basi sawa!Ila lazima tuweke kumbukumbu sawa hasa pale penye harufu ya kupindishapindisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…