Tito Magoti: Samia amefahamishwa rasmi kuhusu shauri lililofunguliwa dhidi yake ICC

Uchawa ni ukilaza tosha ulionao?.
Hiyo ndio ilikuwa hit single but not anymore kwani imeshachuja kitambo,
tafuta neno lingine ili ubaki kuwa relevant hapa jukwaani...fckn nutt.
 
Ndio lissu alivokufundisha ...mbona wewe hujapiga kitu cha utosi. ungejichanganya si unaleta ujuaji wako apa next time ingia road tukupeleke na wewe ukaonane na wizi wenzio.
 
Tuliowahi kuhudhuria mafunzo hatukufundishwa hiyo mbinu ya kuwashoot adui wasio na silaha yoyote zaidi ya kuwatisha kwa kurusha risasi hewani ili watawanyike ama kulala chini wakiamriwa.
Hii ya kwenu ya kuua watoto, kina mama na wazee tena kwa kulenga kichwani, mgongoni na tumboni ndio itakayowarahishia ICC kuwahukumu kifo mapema.
Hivi hao walenga shabaha hawakuona miguu ya wahanga ili wawalegeze Kisha wawakamate na kuwashtaki?
Kwanini waligeuka mahakama na kusahau wajibi wao wa ukamataji?
Najua hujui kuwa wengi wa waliokabidhiwa silaha ni uvccm ambao walikuwa wanafanya mazoezi na jeshi kabla ya uchaguzi. Ili wapone wawakamate wale uvccm na kuwashtaki ili kupunguza tension inayowasonga.
 
Unarudiaga kauli kuwa ingekuwa ni genocide, Samia angekuwa muda huu ameshitakiwa na kuhukumiwa. Tuambie katika mifano yako hiyo ya genocide, ni upi ambao mshitakiwa alishitakiwa na kuhukumiwa ndani ya miezi 3 toka tukio analoshitakiwa nalo kutokea.
Kesi zinachukua muda lakini uwepo wa tume tayari umeshaonyesha nia ya serikali kulifahamu suala hili kiundani.

Kishabiki mtu anaweza kuuliza inakuwaje mtuhumiwa akaunda tume, lakini anasahau kwamba huyo anayemuita mtuhumiwa ana mamlaka gani kikatiba.

Hizi hoja za pingapinga ni humu humu kwenye maongezi yetu tukiweka kila kitu rasmi SSH ni Rais wa JMT anayo haki kikatiba kuunda tume.

Waulize wale wanasheria waliofungua kesi kupinga uhalali wa tume walikutana na hukumu gani huko mahakama kuu.
 
Mkuu wale waliokata vidole vya wapiga kura kwanini wasingeviacha tu wakaruhusu watu waende majumbani mwao bila ya kupata kilema chochote?.

Mazingira ya machafuko kuna kila aina ya ushetani unaokuwa ukiendelea, sio kitu cha kuombea kitokee.

Labda tuwaulize wale vilema kule Angola, Liberia, Somalia ambao walikatwa miguu baada ya kulipukiwa na mabomu je walikuwa na kosa lolote au uhusiano wowote na siasa za wanasiasa wa mataifa hayo?.
 
Inaonekana una hulka ya ubishi, hiyo Mahakama ni usenge tu ndio maana matamko yake wahuni hawayatilii maanani na wanaendelea na uhuni wao.
Nakuhakikishia Samia atamaliza miaka yake kadri atakavyozawadiwa pumzi ya uhai pasipo kukamatwa na yeyote.
Hata Durtete wa Philipinnes alimaliza muda wake, muda wake ulipoisha raisi aliyemfuatia alimkabidhi ICC aende kujibu madhitska dhidi yake. Jinai haifi.

Vv
 
Hata Durtete wa Philipinnes alimaliza muda wake, muda wake ulipoisha raisi aliyemfuatia alimkabidhi ICC aende kujibu madhitska dhidi yake. Jinai haifi.

Vv
Hizi ndoto za mchana, story mnazianzisha na kuzichangia kwa wingi nyinyi wenyewe.

SSH suala lake tofauti na hao kina Durtete, yanapotokea machafuko yenye agenda ya mapinduzi ndani yake Amiri jeshi mkuu anayo mamlaka makubwa sana kuliko mnavyodhani.
 
Nani aliyekatwa kidole?

Tupe uthibitisho hapa.
 
Nani aliyekatwa kidole?

Tupe uthibitisho hapa.
Picha zimezagaa huko instagram na facebook. Usipotezee watu muda kwa kuwajengea taharuki kwamba SSH anashtakiwa ICC, hakuna nchi unaweza kuipindua halafu ukaachwa tu uendelee kupumua.

Iran wamepigwa risasi vijana 500 ndani ya siku moja, kwa ujinga huo huo wa uhaini unaotengenezwa kutokea nje ya nchi.
 
Vyovyote vile

Tena bila shaka wameenda kumweleza upuuzi wa hawa wavaa magauni kitime na ruwaichi jinsi walivyoshiriki kulitumia kanisa kuchochea machafuko.
Na mamaako alipoenda Vatikan kabla ya Oct29 alienda kumshtaki Kitime? Utalisema sana kanisa katoriki ila viongozi wako wanaokulipa buku 7 za kusema ujinga wako hapa wanasafiri umbali mrefu mpaka Vatikani kulamba miguu ya Papa unaekesha kumsema vibaya hapa.Kwanini wakeshe kwenda Rome na siyo Saudia? Sasa wewe mbwa na mwenye mbwa anaekufuga wewe, nani anaakili??
 

Attachments

  • FB_IMG_1769684078314.jpg
    90.6 KB · Views: 27
Putin hauwezi kumuweka mzani Mmoja na samuya hata Kwa bahati mbaya , ushawishi wa Putin unaweza sababisha WW3 endapo akikamatwa Je samuya anaweza sababisha hata vita ya kikanda !?
Imagine mtu anajaribu kukilinganisha kile kibibi ambacho kinaishi kwa kuwategemea akina Mafwele na Muliro wakilinde utawala wake usianguke, na mtu ambaye ana battle na Aliiance ya kijeshi kubwa zaidi duniani NATO na anawamudu.

Hawa machawa huwa wanafanya comparison za kuchekesha sana na huyo samuya wao, wanamuona ni shupavu wakati anachoweza yeye ni kupambana na raia wasiokuwa na silaha tu basi.
 
Unabwabwaja tu na kujaza server za Jamii Forums. Nimekuuliza tutajie kesi ya genocide ambayo mtuhumiwa alihukumiwa ndani ya miezi 3 tangu tukio analohukumiwa nalo kutokea. Usikimbie maneno yako mwenyewe.
 
Mimi naombea uawawe
Kumbe huelewi siasa za dunia.

Hiyo tu inaleta justification ya kupinduliwa. Sio viongozi wote watependa kuishi kwa vikwazo, wanahitaji uhuru.

Kama sio kupinduliwa, ni kuuwawa. Ili maisha ya watu yaende.
 
Unapata taabu sana; sasa ndiyo unaikumbuka damu; wakati siku zote kabla ya hii iliyomwagika tuliwaonya sana kumwaga damu ya waTanzania na mkapuuza?
Ni hivi: sasa damu itakayomwagika ni ya waovu kama wewe na huyo anayekufuga. Hampati tena fursa ya kumwaga damu ya waTanzania kizembe.
WaTanzania wanataka kuona damu yenu ipoje kiasi kwamba muwe mashetani wa namna hii!
 
Anayependa kuona machafuko humjui?
Siku zote unaelezwa humu bado hujui?
Na bado unataka watu warudierudie yaleyale ya siku zote kukueleza wewe?

Dawa iliyobaki sasa ni hiyo, ya kuwaondoa kwa nguvu; kupitia ICC au kwa njia zetu nyingine. Nyinyi ni maadui wakubwa wa nchi hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…