Trump: Marekani imevishambulia vinu vya nyuklia vya Iran

Hadi marekani kufanya shambulio inamaanisha kafanya tathmini kaona anammudu muiran.

Iran mdomo mwingi uwezo kidogo kiukweli kaniangusha sana.

Nilijua ngoma ingekuwa ngumu lakini tofauti na nilichoona.
Ngoma bado ngumu.
Iran imeshambulia tena Israel asubuhi hii na imeapa kuendelea na vita.
Kitendo cha USA kuingilia inamaana Iran inashambuliwa na nchi 2 hilo sio jambo dogo.
Still Iran ni kidume aisee .
 
Mbona Saudi Arabia au Qatar hatujasikia matukio ya kigaidi na nchi zinazoendeshwa kwa misingi ya dini ya Kiislam ?
 
Ukishasikia wamarekani wanasema ondokeni sehemu fulani ondokeni kweli
 
USA mchokozi sana, si angewaacha Israel wapambane wenyewe kama wana ubavu?
Kwan hizi vita zimeanza lini, Mbona Israel Hua anawatwanga hapo Middle East bila hata msaada wa USA
 
Ila magaidi makubwa kama USA na Israel yanayofadhili vikundi vya kigaidi duniani kwa ajili ya maslahi yao binafsi hujawahi kusikia ama kushuhudia enhee?

Baki kupigwa propaganda na mashog, a wenzako hivyo hivyo.
USA na Israel wanafadhili vikundi gn, nitajie kimoja tuu
 
Kuna watu wanajifarijiii ila huko field hali ni mbaya , kwa akili ya kawaida tu Iran inasema imehamisha mifumo ya nyuklia mapema kama watu wanajua hadi alipo kobazi mkuu pichani washindwe kujua kuhamishwa kwa mitambo kama hiyo?
 
Mbona Saudi Arabia au Qatar hatujasikia matukio ya kigaidi na nchi zinazoendeshwa kwa misingi ya dini ya Kiislam ?
Civilization+political tolerance ndio msingi wa hizo nchi kule walisha wiping all radical Muslims.

Ndio maana kule hata Bata lipo kule hata Kuna sehemu watu wanakunywa pombe..

Nenda hapo mashariki ya Kati uwe mwanamke katiza na skin jeans then leta mrejesho
 
Ishu sio kumiliki nuclear, ishu Ni kichaa kumiliki nuclear.

Hao Russia na NK sio vichaa, nchi za Kiislamu ndio vichaa ndo mana hawaruhusiwi kuzimiliki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…