Tundu Lissu kulihutubia taifa Desemba 31, Watanzania tuwe tayari kumsikiliza

Wanachofanya ni kumtafutia au kumtengenezea mazingira ya kuendelea kuonekana na wazungu huko ubelgiji kwamba ana umuhimu kwao.
Wanamjengea Popularity isiyokuwepo.

Chadema ufanyaji siasa wenu ndio hupelekea muhisiwe vibaya saa ingine.
Pole sana, shetani na nyie washirika wake hamuwezi kuipenda kazi ya kuwakomboa wananchi wa Tz. Kwa legacy mloachiwa, nyie mnafurahi sana vitendo vya unyanyasaji na ukandamizaji mkidhani vitawaongezea mvuto.
 
..kwenye nchi za wenzetu Rais akihutubia taifa vyama vya upinzani huwa na hotuba mbadala.

..nilitegemea Rais Ssh ahutubie taifa wakati tunafunga mwaka, na vyama vya upinzani vitor hotuba mbadala.
 
Tundu Lisu ni nani hapa Tanzania?
Wew unawajua viroboto wenzako akina Kingai, Mahita na bi Nonsense,huwezi jua mambo ya kitaifa na kimataifa. Waulize ulaya Marekani na Watanzania wenye Akili timamu tunamjua Tundu Lissu ni nani.
Hata mwenda kuzimu anamjua Tundu Lissu sembuse wew kiroboto wa kunduuchi wewe.
 
Anahutubia Taifa au anakihutubia Chama?

Maana Taifa linahutubiwa na Rais wa JMT na siyo kiongozi wa chama cha siasa
 
We acha kudhalilisha ualimu, c ungesema Lumumba buku 7000 hampendi kusikia jina Lisu.huyo jamaa ni fire hata m/kiti wako taifa la Ccm anamhanya. Khahahahaha
 
Kama umebanwa na ushooz nenda kwenye lile kabuli la burigi ukasikilize hotuba kutoka kuzimu
 
Ndio ukweli wenyewe.
 
Taifa limsikilize TAL? Hauko serious. Ungesema wafuasi wake wawe tayari kumsikiliza sawa!
Hivi siku zoteulikuwa bado hujafahamu tu,
Pamoja na kujibalaguza kote, wa vyombo vya usalama na ulinzi, uongozi wote wa nchi, mihimili yote pamoja na na chama chenu na washikaji wenu, wanasubiri TAL aongee. Pole.
 
Umekunywa uji wa ndimu nini??
 
Ye anaongea km nani bwege huyo akae ale ugali na mbawa za kuku huko kwa wakimbizi asituletee ujinga.
 
Mbona bwana Lumumba/mwanachukua chako mapema(mwanaccm)hakuna anaekushandaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…