Uraia wa Tanganyika walikuwa nao kina Mkapa, Kikwete na Nyerere na bado mkaja na hoja za lawama.

Uraia wake kuuhoji ni kujaribu kumkwaza lakini ni upuuzi tu kama upuuzi mwingine wowote ule, kwani Rais anazo nguvu nyingi sana na vyombo vyote vya utendaji vipo chini yake.
 
Kwa Nini Hili swala Watu wanaingiza Dini???Hapa anasemwa MTU Kama Magufuri tulivyomwambia Kuwa Mzee wa chato.. Kwani Hapo Dini Au ukabila ilikuwepo???
 
Mikataba zaidi ya thelathini kendaa si mchezo,,,kituo kifuatacho ATCL!!
 
Uraia wake kuuhoji ni kujaribu kumkwaza lakini ni upuuzi tu kama upuuzi mwingine wowote ule, kwani Rais anazo nguvu nyingi sana na vyombo vyote vya utendaji vipo chini yake
Usijidanganye.
Usifikiri hivyo "vyombo vya utendaji" ni misukule ya aina fulani unayoweza kuitumia tu na ikatimiza unachotaka hata kama ni uchafu usiokubalika.
 
Hadi 2025 maeneo yafuatayo yatakua chini ya waarabu

1. Serengeti national park
2. Airports zote
3. Bandari zote za maziwa
4. Bandari zote za bahari
5. Bandari kavu zote
 
Yes wao ni wazuri sana wa kulalamika ubaguzi ingawa ni wabaguzi wakubwa sana
Hivi si juzi Jussa kasema Tanganyika ni Wakoloni?
Hivi si Rais HAH Mwinyi aliyesema ardhi ya Zbar marufuku kwa Watanganyika.

Muungano una ujanja ujanja wa ajabu sana. Bandari ni suala la muungano kwa mujibu wa mkataba wa muungano wa 1964. Zanzibar kupitia katiba ya SMZ 1984 iliyofanyiwa marekebisho 2010 wakaliondoa kwa kuanzisha ZPA. Sasa Tanzania Port Authority (TPA) ina Wazanzibar, halafu wao wana yao.

Ni kama Wabunge wa Zbar walikwenda Dubai kuangalia shughuli za DP lakini bandari za Zanzibar hasihusiki
Yaani Wabunge wa Zbar ni kama Watalii tu, wanakula pesa za Watanganyika.
Huko TPA kuna Wazanzibar katika bodi na Wanaajiri 21% ya Wazanzibar kwa jambo walilosema hawataki na wakaanzisha ZPA.

Hapana, ya Tanganyika wakae pembeni wasituingilie hata ajira zisizo za muungano wang'olewe.
Si wao hawataki mambo ya muungano kuongezwa? Sasa waondolewe wakashughulikie mambo yao Zbar
 
Wewe kwako suala hili unaliona liko sawa? Kama unaliona liko sawa basi una mtindio wa ubongo.
Kwangu ubinafsishaji ni sawa ila lugha inayotumika na kulitumia Kisiasa sio sawa, vipengele vinavyoleta shida viangaliwe ila sitaki kabisa Bandari ibaki Kwa Wabongo maana wanaitumia kama shamba la bibi na wanapitisha mizigo Kwa vimemo
 

Lisu yuko sahihi sana.
 
Baadae ya kiki ya kuzurura Mikoani kubuma Sasa chadomo wanatembea na kiki ya Bandari

Chama Cha matukio 😁😁
Bandari inauzwa wewe unalegeza mattyakko yako.
Ipo siku wajukuu wako watapiga fimbo kaburi lako.
 
Na wewe mzanzibari nini?
Hapana ,Mimi nataka ibinafsishwe,hiyo Bandari ma ccm wanaitumia kupitisha mizigo Yao na ya mahawala bila kulipia na pia imekuwa shamba la bibi ndio maana Kuna inefficiency..

Kwani wewe upuuzi wa bandarini unaona ninsawa?
 
Duh.. hatari..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…