Wanafanya hivyo, wengi hutibiwa na serikali hasa magonjwa makubwa kama MOYO nk. Ushawahi ona watoto wenye MOYO mkubwa kujigharamia matibabu yao?Serikali sasa ianze kulipia gharama za kila mtanzania asiye na uwezo akiugua...
Ombea usipatwe na vitu viwili duniani, umasikini na wivu.
Hapo siasa pia inahusika. Ingawa kwa kweli ni jambo jema. Labda target akipona anaweza kwenda upande uleHiyo sio nongwa. Tatizo sio yeye kusaidiwa. Asaidiwe privately.
Ni discrimination kutumia pesa ya umma kumsaidia mtu mmoja ilhali watu wengine walio katika situation kama yake wakiachwa kujipigania wenyewe!
Kwa hiyo inamaanisha hujapenda alivyosaidiwa?utumishi wake, ulikoma na akalipwa mafao yake labda kama kuna deni anaidai serikali..
kwahiyo na makampuni yaanze kuhudimia watumishi wake waliotoka kazini?
Wajuaji Sana,chuki na roho mbaya tu.Acheni atibiwe,punguzen kuchonga ngenga
We jamaa nimeshawahi kuona sehemu ukisema watanzania hutuendelei kwa sababu tuna ROHO MBAYA,CHUKI NA HUSDA.Na Watanzania wengine walio wagonjwa watagharamiwa na nani?
Kwanza kwa nini agharamiwe na serikali? Ni mtumishi wa serikali kwani?
Ni bora tu wangeacha watu wamchangie na wao kama wanataka kumsaidia, basi wangechanga tu kama watu binafsi.
Sio zote zinastaafu.Muongo huyo, bima huwa ibakatwa kwenye mshahara. Ukistaafu wanakata kwenye nini? Ukistaafu na bima nayo inastaafu.
Anatumia 4m per week....familia ilisemaBima ni muhimu sana . Nilisikia anafanya dialysis ambayo ni expensive sana na ni matibabu yanaendelea mpaka upate figo nyingine. Hata kama una pesa kutumia Tsh 2M kwa matibabu kila mwezi ni pesa nyingi sana kama hauingizi pesa
Imekuuma sana bro? Why all this hate?Na Watanzania wengine walio wagonjwa watagharamiwa na nani?
Kwanza kwa nini agharamiwe na serikali? Ni mtumishi wa serikali kwani?
Ni bora tu wangeacha watu wamchangie na wao kama wanataka kumsaidia, basi wangechanga tu kama watu binafsi.
Bima imejiengua kwenye dialysis na magonjwa yote yanayotafuna hela kama mchwa😂Mkuu , ukiugua figo , bima haisaidii
And bad enough,mtu huyu anayesaidiwa ana platform ya kurise fund kwa ajili ya hayo matibabu..Hiyo sio nongwa. Tatizo sio yeye kusaidiwa. Asaidiwe privately.
Ni discrimination kutumia pesa ya umma kumsaidia mtu mmoja ilhali watu wengine walio katika situation kama yake wakiachwa kujipigania wenyewe!
Anatibiwa kama Mbuge mstaafu we kama hutaki andamana!hii sio sawa, anatibiwa kama nani..
gharama za wagonjwa wengine hapo muhimbili wasio na mbele wala nyuma nazo Serikali itazibeba? tuwe serious kidogo.
Inaniuma kuona kuna Watanzania wengi sana wasiolipiwa gharama zao za matibabu na serikali kwa vile tu hawako maarufu!Imekuuma sana bro? Why all this hate?
Kama hujui issue bora kukaa kimya.Za kuchangia mawakili wamtoe mtu, mahabusu zinapatikana,
Lakini za kuchanga matibabu apate mtu, watu wa chama mashati washikana,
Chama cha mgonjwa cha "watu", ukitaja mgonjwa mwapishana,
Heko Mheshimiwa Ummy Mwalimu, utu wa mtu kuupambania.
Hata ikiniuma haibadilishi chochote kwa hio nimeamua kuwa neutral!Inaniuma kuona kuna Watanzania wengi sana wasiolipiwa gharama zao za matibabu na serikali kwa vile tu hawako maarufu!
Hiyo wewe haikuumi eh?