Hongera serikali yetu,maana huu utamaduni ndio tulio uzoea watanzania.sijui kwa lissu tuliteleza wapi,hongera mh rais kwa Hili pia .God bless.
 
Ukisikia ule msemo wenye akili hawana power na wenye power hawana akili ndio hiii.

Hivi Serikali inawezaje kutoa statement kama hiyo mbele ya jamii-bora wangemlipia kimya kimya.
Tuna viongozi ambao hawatumii akili kabisa,by the way sisi Wananchi ndio matahira kabisa -acha mambo yaende.
 
Bima ni muhimu sana . Nilisikia anafanya dialysis ambayo ni expensive sana na ni matibabu yanaendelea mpaka upate figo nyingine. Hata kama una pesa kutumia Tsh 2M kwa matibabu kila mwezi ni pesa nyingi sana kama hauingizi pesa
Kwani Nchi nzima anayefanyiwa hiyo analysis I ni Prof.Jay tu-kuna mamia ya wagonjwa wa figo wanakufa Muhimbili& Benjamin Mkapa kwa kukosa fedha za kufanya dialysis
 
Hongera serikali yetu,maana huu utamaduni ndio tulio uzoea watanzania.sijui kwa lissu tuliteleza wapi,hongera mh rais kwa Hili pia .God bless.
Unapaswa utumie ubongo vizuri.
Prof Jay yupo Tz Muhimbili na kufika hapo kafuata hatua zote.
Lissu alienda Dodoma hospital na alitibiwa vizuri tu, serikali ikashauri ahamishiwe Muhimbili kwa matibabu zaidi, Kama kawaida hoyahoya wa chadema wakakataa wakamkimbiza Nairobi, na wakampeleka tena ubelgiji.
Sasa hapo utailaumu serikali?
Mfano hata huyi Prof jay angeenda kutibiwa Marekani unafikiri serikali ingekuwa na mpango nae?
 
Wanafanya hivyo, wengi hutibiwa na serikali hasa magonjwa makubwa kama MOYO nk. Ushawahi ona watoto wenye MOYO mkubwa kujigharamia matibabu yao?
Ugonjwa ni moyo tu? Kwa nini isiwe kwa magonjwa yote na kwa watu wote?
 
Tozo tu watu wana lalamika itakua kulipia bima au unamaanisha serikali ilipie bima? Kitu ambacho hakipo
 
Marekani wameshindwa ndio sisi? Ni nchi chache sana zenye uwezo na zenye watu wachache ndio zime weza nadhani moja wapo ni Netherlands
 
Muongo huyo, bima huwa ibakatwa kwenye mshahara. Ukistaafu wanakata kwenye nini? Ukistaafu na bima nayo inastaafu.
Jana yuko sahihi labda kama haikuwahi kutekelezwa lakini ilikuwa hivyo tena na mwenza wako.
 
Kwani Nchi nzima anayefanyiwa hiyo analysis I ni Prof.Jay tu-kuna mamia ya wagonjwa wa figo wanakufa Muhimbili& Benjamin Mkapa kwa kukosa fedha za kufanya dialysis


Hapana mimi sipo hapa kumtetea mtu bali kueleza sababu za kuomba msaada maana watu wengi hawajui gharama. Muhimu ni kuwa na bima. Lakini sita shangaa kama alipata covid ikaharibu figo. Nashauri watu wachanje
 
Ahsante sana serikali yetu chini ya mama Samia kwa kubeba gharama za matibabu za Prof Jay
 
Kama wewe ni mtanzania mpumbavu usitujumuishe na tusio wapumbavu, wewe na hao wapumbavu wenzako rukeni rukeni mbinue makalio.
Pumbavu Sana.
 
Usilinganishe bima ya afya na magari. Bima ya afya unalipa kila mwezi tena kwa asilimia maalum ya mishahara.

Na hiyo habari ya wastahafu na wenza wao kunufaika na huduma ya NHIF ni wao wenyewe ndio waliokuwa wanawaambia wanachama wao.
 
Bima ni muhimu sana . Nilisikia anafanya dialysis ambayo ni expensive sana na ni matibabu yanaendelea mpaka upate figo nyingine. Hata kama una pesa kutumia Tsh 2M kwa matibabu kila mwezi ni pesa nyingi sana kama hauingizi pesa
Nitashangaa sana kama former Mbunge hakuwa na bima ya afya, tena iliyo na coverage bora. Unless bima yake ya afya ilikoma pale tu alipomaliza ubunge wake. Mambo ya matibabu ya figo ikiwemo kufanyiwa dialysis nadhani covered na bima ya afya Tanzania. Au hizi health insurance companies wanachukulia ugonjwa wake kuwa ni pre-existing condition, na hivyo kutotibiwa kwa bima? maana kuna makampuni mengine ya bima yana huo mchezo. Namtakia mgonjwa apone haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…