Ahh bana, imeuzwa.
 
Mzungu anaajiriwa na mwarabu sawa na Guardiola alivyoajiriwa na Man City halafu akapeleka kombe kule Saudi Arabia.
 
Vilevile, Ishukuru serikali kwa kufanya marekebisho kwa vifungu kandamizi vya mkataba ambavyo TEC walivishinikiza virekebishwe.
Tunawashukuru TEC mwambukuzi slaa na watanzania wote waliotoa maoni yao mama samia ni msikivu na serikali ya CCM ni sikivu kwa wananchi wake. Tuendelee kumuunga mkono Mh.rais kwa maendeleo ya Mama Tanzania [emoji1241]
 
Mama kaupiga mwingi. Nimehuzunika kina Mdude, Mwabukusi, TEC na CHADEMA kukosa agenda. Ninawashauri kwa sasa waipinge Ihefu kuwaonea Yanga. Ihefu ni kama DP World kimatendo
 
Hiyo hafla ya utiaji saini huo mkataba ilifanyika lini na wapi?
 
wapo, mashavu yamewashuka kama soksi zilojaa tope.
Tec hawakupinga mkataba wewe Bibi ,walitaja vipengele vilivyohitaji maboresho ukiwepo muda wa mkataba na Uhuru wa serikali kujitoa ,
Na kama serikali imezingatia ulitaka waendelea kususa

Ila ulivyo punguani huwezi kuona Hilo unataka ligi za kidini kwenye masuala ya kitaifa jinga kabiasa ,badilika
 
DP World Hoyeee.
 
Waraka unakuwa toilet paper sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…