mabutu1835
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 909
- 1,425
Wewe bibi unamichambo duuuwapo, mashavu yamewashuka kama soksi zilojaa tope.
Umesahau mwendazake livyofuta mikataba yote ya gas na madini, sasa inatutokea puani?Mmh! Hata kwenye gesi ya Mtwara tuliambiwa sasa Mtwara itakuwa kama NewYork na umeme utakuwa bure kama mwanga wa jua.
Wakati kiwanda cha Dangote kinajengwa, tuliambiwa bei ya sementi itapungua na kuwa sh elfu 5.
Lakini Sasa yako wapi??
Hata wewe mtanzania mweusi kama mimi unaweza kuwa mwekezaji tuache mentality za kijinga.Mwarabu nae ni kibaraka tu
Nyama zipo chini tuendelee na mtori.Tumebiwa maoni ya wananchi yamesikilizwa na kuzingatiwa ,wewe unafikiri maoni gani?
Kama inamiliki cheti fake Hadi Leo,Kwa andiko hili kuanzia leo na ku ignore kumbe wewe ni mjinga kiasi hiki? Sikutegemea kabisa kuwa unaweza kuwa na mawazo kama haya kichwani kwako.
kwani hujawaona?Wewe bibi unamichambo duuu
Kabisa kelele zao zimesaidia sana,tofauti na hapo tulikua tunapigwa mchana kweupee.Nashangaa wanaowabeza sijui wanawaza kwa kutumia nini.Bado TEC+MWABUKUSI , SILAA, wanaendelea kua Mashujaa wa Taifa hili.
Hili limethibitishwa na Makamo wa Rais, kukiri ya kwamba, wamesikiliza maoni ya Watanzania, na hatimaye wamekuja na Mikataba hii!!.
Mwabukusi Oyeeee
Allahu Akbar.Dear God, do us mercy
Mikataba inayosainiwa leo ni baina ya Nchi mwenyeji, mkataba wa ukodishaji na uendeshaji wa gati namba 4-7 lakini pia kutakuwa na sehemu ambayo gati 0-3 zitaendeshwa kwa ushirikiano wa pamoja kati ya TPA na kampuni ya DP World kwa shughuli za kibiashara na shughuli za kiserikali.
Mikataba hii haihusishi eneo lote la bandari wala bandari zingine za Tanzania. Upande wa gati namba 8-11, mchakato wa kumpata mwendeshaji mwingine umeshaanza kufanyika na akipatikana mwekezaji mwingine mwenye sifa atakabidhiwa na sio DP World.
Wewe utahangaika sana na chuki zako kwa samia nakwambia hapa ni mpaka 2030 utapata tabu sana.Kama inamiliki cheti fake Hadi Leo,
Upeo wa kuelewa mambo utautoa wapi?
Wamiliki wa DP World ndio wafadhili wa Royal tour.
2035.Wewe utahangaika sana na chuki zako kwa samia nakwambia hapa ni mpaka 2030 utapata tabu sana.
Raha isipitilizeSasa hivi sisikii lolote.
Namsikiliza Mjomba Mpoto.
Nnaona Raha.
Hajabezwa mtu yeyote Serikali ilishawaambia kila mtu atoe maoni yake na yatasikilizwa na ndio kilichofanyika sasa kelele za nini tena.?Allahu Akbar.
Hahahahaaa aione Crimea2035.