Hatamimj nakubali wezi wametuchelewesha kweli sasa haojamaa waanze fasta siokuchelewa tena wajinga wamekata kona sasa wamerudi kwenye katiba mtuache kwanza tutatue matatizo yawananchi
Kazi imeshaanza leo mkataba umesainiwa DP WORLD hawachelewi kuanza kazi.
 
Tangu lini kiumbe dhaifu, kiumbe anaetii hisia wala asitumie akili, akatenda kwa busara ?!! Ebo, kwani mlitegemea tofauti ?!! Kiumbe alieumbwa kua mlezi wa watoto leo awe KIONGOZI MKUU WA NCHI na ati akatoshe ?!! Hakika waliotegemea maamuzi makini kutoka kwa kiumbe huyu hakika hakuwaza kwa umakini kutarajia tofauti.

labda niseme tu, tegemeeni mauozo zaidi na zaidi

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…