econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Waambie waendelee kusoma waraka kila jumapili mfululizo miaka 7
Dharau zenu zitawaponza. Huwa mnaona wengine sio raia wa nchi hii. Tuone hiyo bandari itafika wapi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waambie waendelee kusoma waraka kila jumapili mfululizo miaka 7
Ukiondolewa mie nitaurejesha kivingine 😁Haudumu masaa matatu
Kazi imeshaanza leo mkataba umesainiwa DP WORLD hawachelewi kuanza kazi.Hatamimj nakubali wezi wametuchelewesha kweli sasa haojamaa waanze fasta siokuchelewa tena wajinga wamekata kona sasa wamerudi kwenye katiba mtuache kwanza tutatue matatizo yawananchi
Naunga mkono hoja 👍👏Hakuna jipya usanii tu.
Mkataba mwezi wa tatu huu unaongelewa, mkataba wenyewe huujui, hizo bandari 'zenu' ni zipi!?wametia saini MKATABA MBOVU na KUUZA BANDARI zetu halafu wameteua MUHALIFU ili Watanzania WAMUONGELEE yeye WASAHAU mkataba
Katia saini mkataba mbovu kateua mhalifu ili watanzania wamuongeleee yeye
Ni kwanini unaamini ni rais mbovu kuliko wote waliowahi kutawala? Binafsi naomba hoja zako mkuu.
Hana hoja,anabweka tu
Ni kwanini unaamini ni rais mbovu kuliko wote waliowahi kutawala? Binafsi naomba hoja zako mkuu.
ImekuumaHana hoja,anabweka tu
Kabisa kaka huyu kazidiAnamzidi hata Kikwete kwa ubovu?
Kea hiyo unabweka tu kama jibwa linalobwekea mti!?Muulize rais wako unaniuliza mie
Vipi waraka umeshindwa kuleta mabadiliko. Waendelee kuusoma.Waambie waendelee kusoma waraka kila jumapili mfululizo miaka 7
Tangu lini kiumbe dhaifu, kiumbe anaetii hisia wala asitumie akili, akatenda kwa busara ?!! Ebo, kwani mlitegemea tofauti ?!! Kiumbe alieumbwa kua mlezi wa watoto leo awe KIONGOZI MKUU WA NCHI na ati akatoshe ?!! Hakika waliotegemea maamuzi makini kutoka kwa kiumbe huyu hakika hakuwaza kwa umakini kutarajia tofauti.
Ubovu wa kikwete ni nini!!Anamzidi hata Kikwete kwa ubovu?
Kijana wa ccm acha unafki hata kuandika hujui ndo maana mnateua vilazaKea hiyo unabweka tu kama jibwa linalobwekea mti!?