Nilikuwa najaribu kupima umbali wa kutoka JNIA hadi Ufipa na umbali wa kutoka viwanja vya Buibui pale mwananyamala Kambangwa hadi Morocco hotel alipopigwa risasi yule binti mwanafunzi.

Kiukweli inawezekana kabisa Chadema siyo watu wa vurugu hadi pale wanapovurugwa.
Leo hawajavurugwa tumeshuhudia amani ikitamalaki.

Siasa siyo Uadui..... Tunajenga nyumba moja.

Maendeleo hayana vyama!
 
Hata akiwa jogoo huyo ndiyo rais wako baada ya October
Tatizo la Lissu bado kinda sana, bado litoto na akili za kitoto..nadhani haja mature upstairs..atakuwa alirushwa stage mojawapo ya maturity. Tunaweza kumwachia tu sababu hajui atendalo labda
 
niliona clip ya hayati akiwaambia watawala wa sasa kuwa "waseme hii ni serikali ya ccm na sio kusema mimi..."

sasa mh Tundu amekosea nini kusema hivyo?
 
Anadhani Lissu anaweza kufika bei kama watumwa walio tumiwa na mwisho kutupwa kama taulo chafu
Ajiweke karibu na serikali ili iweje??

Mnafikiri TL ni kama hao akina Nassari, Lusinde, Lijuakali n.k?
 
Huyu Mbeba maono najua haiwezekani Ila ikitokea eti ameunga juhudi Chadema wasijihangaishe kumtafta mtu wa kumshughurikia hiyo kazi nitaifanya mimi sababu haiwezekani watu tunavuka karibu mikoa minne tunatumia pesa na bado anasema kesho tumsindikize na bado tunafanya hivyo huku tukitumia muda na pesa halafu aje kuunga juhudi Aiseee asithubutu kufanya huo ujinga TUNAMPENDA LISSU WETU MBEBA MAONO WETU HAKIKA HUYU NDIO CHAGUO LA MUNGU
 
CCM mtakaa chini tu nyie subirini mtatuelewa vizuri sisi CDM.
 
tatizo linakuja pale saburi (asante Mungu liliangukia pua kule ng'ambo ya feri!) linapotumika kufikiria badala ya ubongo.
 
Umeanza kuwa na akili kijana
 
Wadau inawezekana Lowassa angeweza kuwa Rais wa Tanzania?
 
2k reply sio mchezo na uzi umeanza saa 6
 
Usitufanye wajinga na kupotosha watu,huo mkutano tumeangalia wengi hakuna sehemu ameongea vibaya ,we utakuwa na utindio wa ubongo kama hujamwelewa
 
Kwa hiyo bbc na aljezeera wakisema na wewe unatik kabisa...huu utumwa wa akili utu uzimani ni aibu kwa familia yako

Hakuna namna, yaani tiki kubwa maana hakuna wa kuwafungia. Nje ya hapo ni mwendo wa mitandao tu
 
Reactions: PNC
Hakuna mahali katika mazungumzo yake ya leo ya kumkashifu mtu,acha chuki binafsi
 
Msitetemeke na maneno ya hiyo muhaini wa nchi, MUNGU anamuona na atamhukumu vile vile,chuki zake ni uchu wa madaraka na kwa sasa atasema lolote ilmradi wazungu washenzi wamsikie na kumsifia
We sista una maneno ya kikatili kama kocha wa Nyani Fc
 
Mavi-jana mengi ya TZ ni utopolo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…