Najua hawapendi nzi.....
Najua hawawezi shoot yeye sio muhalifu.
Ni bora usababishe jam, ila sio uingie Ndani kwao.
Japo inaonekana Huyu Dogo ( nahisi ni kijana mdogo) alikuwa na makosa.....
Na ana kiburi chake binafsi cha hadi ya familia aliyotoka.
Uko sahihi.
Kwasababu anasema taa zimemruhusu, sasa zilimruhusu yeye mwenyewe??

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Pole yake sana...

Hawana mamlaka hayo wanatakiwa wakukabidhishe kwa traffic alafu wao waendelee na mambo yao, hawapaswi kupoteza muda na raia mambo yao ni chap chap...
 
Barabarani mwenye nguvu mpishe tu.

Asingepoteza muda kama angeomba radhi mapema tu.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app

Kijana mdogo aliimba Tanzania Tanzania nakupenda sana alidhani duniani kuna haki.

Taabu hapo ni hayo makubwa mazima hovyo.

Yameshindwa hata kuwajibika kama mibaba!

Bure kabisa.
 
.
 
Hii ncho kila mtu anatakiwa awe na mtu fulani ndio mambo yaende tofauti na hapo utateseka sana
 
Kwa nini unasema hakukuwa na haja ya kumpeleka hapo?

Mimi Naona wamefanya sawa tu!
Fikiria, kamtoa kwenye mataa (kwa kumfanya kijana amfuate nyuma) hadi hapo kwao, lengo ni nini..?? Probably "hujanijua Mimi ni nani, ngoja nikuonyeshe". Unaweza fikiria kidogo ni umbali gani kutoka walipoanza kutofautiana hadi hapo kwao, kwann hakumzuia huko...?? Acheni ulimbukeni, kila mmoja akiwa hivyo hatutafika
 
Uko sahihi.
Kwasababu anasema taa zimemruhusu, sasa zilimruhusu yeye mwenyewe??

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app

Umesikia kachomekewa pia?

Je magari hata yamegusana?

Je alisimamishwa hata kuongea tu ila kuingiza gari getini?

Ukitaka undani wa yote fika knyama hao ndugu wote kwenye kadhia hii yumkini maelezo tayari wameandikishwa.

Je yote haya yalikuwa lazima?

Na aliwe mtu kichwa tu hapa.
 
.
 
k
Hivi trafiki tuu ndio wakikusimamisha barabarani unalazimika kutii!?

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Kwani sheria inasemaje?
Wewe siyo askari wa barabarani unisimamishe pasipo jambo la maana,nisimame ili nikuelimishe nini?
Kama hapo makosa ni ya huyo anayesimamisha,nisimame ili nini kitokee?
Badilisha akili yako.
 
Point !
 

Zingatia umri na uzoefu wa dogo kimaisha ...
 
Hayo mambo yanafanyika nchi zenye raia wengi wasiojielewa na wenye maisha ya bora liende, hewala hewala.
Kwenye nchi ambazo utawala wa sheria unafanya kazi sawa sawa polisi wa barabarani tu ndio wanahusika kutoa muongozo wa matumizi ya barabara wakati wa hali ya kawaida ya amani kwenye nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…