A full account of what transpired ni muhimu sanaHapo Kwa hayo mazingira sihitaji access ya kigogo yeyote, dogo mzembe tu. Kwanza ukisikiliza Kwa makini utafundus hitilafu ilishaanza kitambo ndio maana akawa anarekodi. Hauwezi kuanza kurekodi tu bila kuwa na sababu.
Pili, hapo angeweza kunyoonsha akaelekea kituo Cha polisi kama anaona usalama wake uko matatani.
Ila inaonekana alikomaa kutoa simu ndio maana video ameweza kuirusha watu wakaipata. Huenda mjomba wake mbunge alikuja kumtoa.
Boss Kama mtu ana silika mbaya kutokana na mazingira na utashi wake hata ukiweka katiba nzuri kiasi gani. Hivi boss Kuna katiba nzuri kuliko quruan na biblia? Mbona zinzvunjwa. Mimi najaribu kusisitizia uelewa wa jambo baya kupitia mafunzo. Mtu asutwe na nafsi yake kwa kufanya Jambo baya hata kabla hajafikishwa mahakamani. Ni myizamo tu mkuuMkuu umeanza vizuri ila umaliziaji. Kumbuka haki ni kwa mujibu wa katiba si kwa mujibu wa shule.
Ila hapo kuna viashiria vya uvunjaji haki.A full account of what transpired ni muhimu sana
Sometimes hawa vijana huwa ni wajuaji mno
Boss Kama mtu ana silika mbaya kutokana na mazingira na utashi wake hata ukiweka katiba nzuri kiasi gani. Hivi boss Kuna katiba nzuri kuliko quruan na biblia? Mbona zinzvunjwa. Mimi najaribu kusisitizia uelewa wa jambo baya kupitia mafunzo. Mtu asutwe na nafsi yake kwa kufanya Jambo baya hata kabla hajafikishwa mahakamani. Ni myizamo tu mkuu
Thats rude,bordering on uncivil manner!Nisome vizuri utanielewa kama ni muelewa, otherwise, don't waste yours and my time with stupid questions.
unaitafsiri vibaya sheria,ndiyo inaruhusu lakini inamtaka mkamataji ampeleke muhalifu kituo cha polisi,kwa askari ambaye sio polisi sheria haimruhusu kukanata hivo ukifuatwa na askari wa jeshi lingine unaweza kukataa kwendaSheria inaruhusu mtu yeyote kufanya arresting!
Hata wewe unaweza kumu arrest muhalifu akifanya kosa
Wanapewa na nani izo nguo?Sio wanajeshi hao, hata TISS wanaona ufahari kuvaa nguo za kijeshi jeshi.
Mi ningesimama kisha waliposema paki pale ningenyooka speed 100 😅😅😅 yani labda kama angekuwa na muda wa kunikimbiza😀
hiyo ya mbunge amesema kwa hasira tu na lazima muelewe hata ungekuwa ni wewe una umri mdogo ungesema tu pindi unapoona unaonewaKuwa na mjomba mbunge inampa nguvu uyo bwamdogo uwenda kuna kosa lingine kubwa kafanya mpaka kaingizwa hapo kwa siafu.
wacha uoga kwani jamaa alijua hapo ni wapi ? na amepelekwa tuAna udhibitisho gani?
Tena wanaweza kumshtaki kwa kupiga picha maeneo ya usalama.
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Vipi uko ulaya?Ila hapo kuna viashiria vya uvunjaji haki.
Being held against your will ambayo ni sawa na kidnapping.
Kukatazwa kurekodi ukiwa kwenye public easement, ambayo ni violation ya freedom of information/speech.
Hizi haki kwa Tanzania zipo kisheria lakini watanzania hatuzitaki kabisa.
Miye nataka tupigwe na kuonewa sana hadi uamuzi utoke tupiyapige haya mazombi! Hivi jamani toka mwaka wa 2015 hadi leo hizi mbwa zinatamba tuu! ?? Raia tuchukue hatua piga sana! Hivi kwa mfano angekataa kupaki ingekuwaje? Angeendesha hadi manzese na kuita washikaji ingekuwaje?Hii Tabia ya kuonea raia kisa tu ofisa wa usalama wa Taifa kakwaruzana na waendesha magari barabarani inatoka wapi?
Hii inaonyesha kuwa tuna Usalama wa Taifa incompentent, wasiojua kazi zao, ambao wanatumia nafasi zao kuonea watu.
Ni wapi katika majukumu ya usalama wa Taifa, Usalama wa Taifa unafanya kazi za Trafiki barabarani?
Leo hii ofisi na premise za usalama wa Taifa zinaenda kutumika kama parking ya kukamatia raia eti kisa raia kakwaruzana na ofisa mmoja huko barabarani ni ushamba wa hali ya juu na ni kuipaka Idara matope.
Tunataka Idara ya Usalama wa Taifa TISS imchukulie hatua za kinidhamu huyo ofisa anayeonekana kuleta kiburi kwa kutumia kazi yake kuonea watu.
Kibaya zaidi anaamrisha raia anyang'anywe simu yake bila search warrant au bila kufuata sheria za kipolisi, huu kama siyo ujambazi ni nini.
Huu utovu wa nidhamu ukomeshwe mara moja, hatutaki usalama wa Taifa unaoendeshwa kihuni.
View attachment 2182358
Huku zinafuatwa kwa kiasi kikubwa kulinganisha na sehemu nyingine. Na watu wanachukulia kama ni haki za muhimu sana.Vipi uko ulaya?
OkHuku zinafuatwa kwa kiasi kikubwa kulinganisha na sehemu nyingine. Na watu wanachukulia kama ni haki za muhimu sana.
Huwezi kumsimamisha tu mtu barabarani, na kumdetain kama wewe ni peace officer au kidnap kama wewe siyo peace officer. Kuna kanuni za kufanya hivyo.
Hata hizi videos za mke wa Roma sijui yupo bar, that's a public place na huwezi kutegemea privacy in a public place hadi Ile bar ingeandika no cameras.
Camera ni sawa na macho, unachokiona na kukimumbuka unaweza kukielezea kama camera inavyoelezea.
Uko sahihi kabisa. Yaani sehemu pekee ambayo hawa watu wanakwama kiulinzi hawawezi kulinda ni hewani tu; ila nadhani kama wangekuwa na uwezo huo, hata hewa wanayovuta Watanzania walitakiwa kuwa wanahakikisha kuwa iko salama kwanza halafu ndiyo Watanzania wainavutaUsalama wa taifa ni ulinzi wa kila kitu!
Siti ya mwishoni huku hatujajua kilichoendelea aseee mtupashe habari kilichojiri baadae