Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,153
- 10,670
A full account of what transpired ni muhimu sanaHapo Kwa hayo mazingira sihitaji access ya kigogo yeyote, dogo mzembe tu. Kwanza ukisikiliza Kwa makini utafundus hitilafu ilishaanza kitambo ndio maana akawa anarekodi. Hauwezi kuanza kurekodi tu bila kuwa na sababu.
Pili, hapo angeweza kunyoonsha akaelekea kituo Cha polisi kama anaona usalama wake uko matatani.
Ila inaonekana alikomaa kutoa simu ndio maana video ameweza kuirusha watu wakaipata. Huenda mjomba wake mbunge alikuja kumtoa.
Sometimes hawa vijana huwa ni wajuaji mno