Wanajeshi kwa waliohusika na tukio hili wawajibishwe
Hapo Kwa hayo mazingira sihitaji access ya kigogo yeyote, dogo mzembe tu. Kwanza ukisikiliza Kwa makini utafundus hitilafu ilishaanza kitambo ndio maana akawa anarekodi. Hauwezi kuanza kurekodi tu bila kuwa na sababu.

Pili, hapo angeweza kunyoonsha akaelekea kituo Cha polisi kama anaona usalama wake uko matatani.

Ila inaonekana alikomaa kutoa simu ndio maana video ameweza kuirusha watu wakaipata. Huenda mjomba wake mbunge alikuja kumtoa.
A full account of what transpired ni muhimu sana

Sometimes hawa vijana huwa ni wajuaji mno
 
Mkuu umeanza vizuri ila umaliziaji. Kumbuka haki ni kwa mujibu wa katiba si kwa mujibu wa shule.
Boss Kama mtu ana silika mbaya kutokana na mazingira na utashi wake hata ukiweka katiba nzuri kiasi gani. Hivi boss Kuna katiba nzuri kuliko quruan na biblia? Mbona zinzvunjwa. Mimi najaribu kusisitizia uelewa wa jambo baya kupitia mafunzo. Mtu asutwe na nafsi yake kwa kufanya Jambo baya hata kabla hajafikishwa mahakamani. Ni myizamo tu mkuu
 
A full account of what transpired ni muhimu sana

Sometimes hawa vijana huwa ni wajuaji mno
Ila hapo kuna viashiria vya uvunjaji haki.
Being held against your will ambayo ni sawa na kidnapping.
Kukatazwa kurekodi ukiwa kwenye public easement, ambayo ni violation ya freedom of information/speech.
Hizi haki kwa Tanzania zipo kisheria lakini watanzania hatuzitaki kabisa.
 
Boss Kama mtu ana silika mbaya kutokana na mazingira na utashi wake hata ukiweka katiba nzuri kiasi gani. Hivi boss Kuna katiba nzuri kuliko quruan na biblia? Mbona zinzvunjwa. Mimi najaribu kusisitizia uelewa wa jambo baya kupitia mafunzo. Mtu asutwe na nafsi yake kwa kufanya Jambo baya hata kabla hajafikishwa mahakamani. Ni myizamo tu mkuu

Katiba yenye kuyaweka mamlaka ya nchi kwa watu, mbona kila fedhuli ataufyata?

Hukumsikia akimsifia Simba wa Yuda na sharubu zake?

Tulipo nchi si ya wananchi bali watawala.

Haya ndiyo matokeo yake.
 
Sheria inaruhusu mtu yeyote kufanya arresting!

Hata wewe unaweza kumu arrest muhalifu akifanya kosa
unaitafsiri vibaya sheria,ndiyo inaruhusu lakini inamtaka mkamataji ampeleke muhalifu kituo cha polisi,kwa askari ambaye sio polisi sheria haimruhusu kukanata hivo ukifuatwa na askari wa jeshi lingine unaweza kukataa kwenda
 
Mi ningesimama kisha waliposema paki pale ningenyooka speed 100 😅😅😅 yani labda kama angekuwa na muda wa kunikimbiza😀

Kwa hizo foleni & traffic jams za Dasalamu utakimbia speed 100 hadi wapi? Dogo ana IST, officer ana V8.

Kwa mazingira hayo, nadhani ukifanya maamuzi ya kukimbia ni kukuza tatizo.

Ila pia nahisi dogo alimess up somewhere huko nyuma... najiuliza WHY mwenzake anamwambia "awaombe msamaha"? WHY aliamua kulifuatilia hilo gari kwa kurekodi? Dogo anasema Officer ndiye mwenye makosa kwa rough driving na kumchomekea dogo, sasa WHY tena huyo Officer akamblock dogo kwa mbele na kum-detain?

Lakini whatever the situation might be, kama kweli ni purely kosa la barabarani (traffic case), kumkamata dogo na kumpeleka kituo cha Idara ni very unprofessional na upuuzi wa hali ya juu sana!

-Kaveli-
 
Kuwa na mjomba mbunge inampa nguvu uyo bwamdogo uwenda kuna kosa lingine kubwa kafanya mpaka kaingizwa hapo kwa siafu.
hiyo ya mbunge amesema kwa hasira tu na lazima muelewe hata ungekuwa ni wewe una umri mdogo ungesema tu pindi unapoona unaonewa
amesema hivo kwa sababu amehisi anaonewa sababu ya unyonge wake
 
Ila hapo kuna viashiria vya uvunjaji haki.
Being held against your will ambayo ni sawa na kidnapping.
Kukatazwa kurekodi ukiwa kwenye public easement, ambayo ni violation ya freedom of information/speech.
Hizi haki kwa Tanzania zipo kisheria lakini watanzania hatuzitaki kabisa.
Vipi uko ulaya?
 
Hii Tabia ya kuonea raia kisa tu ofisa wa usalama wa Taifa kakwaruzana na waendesha magari barabarani inatoka wapi?
Hii inaonyesha kuwa tuna Usalama wa Taifa incompentent, wasiojua kazi zao, ambao wanatumia nafasi zao kuonea watu.

Ni wapi katika majukumu ya usalama wa Taifa, Usalama wa Taifa unafanya kazi za Trafiki barabarani?

Leo hii ofisi na premise za usalama wa Taifa zinaenda kutumika kama parking ya kukamatia raia eti kisa raia kakwaruzana na ofisa mmoja huko barabarani ni ushamba wa hali ya juu na ni kuipaka Idara matope.

Tunataka Idara ya Usalama wa Taifa TISS imchukulie hatua za kinidhamu huyo ofisa anayeonekana kuleta kiburi kwa kutumia kazi yake kuonea watu.

Kibaya zaidi anaamrisha raia anyang'anywe simu yake bila search warrant au bila kufuata sheria za kipolisi, huu kama siyo ujambazi ni nini.

Huu utovu wa nidhamu ukomeshwe mara moja, hatutaki usalama wa Taifa unaoendeshwa kihuni.

View attachment 2182358
Miye nataka tupigwe na kuonewa sana hadi uamuzi utoke tupiyapige haya mazombi! Hivi jamani toka mwaka wa 2015 hadi leo hizi mbwa zinatamba tuu! ?? Raia tuchukue hatua piga sana! Hivi kwa mfano angekataa kupaki ingekuwaje? Angeendesha hadi manzese na kuita washikaji ingekuwaje?
 
Vipi uko ulaya?
Huku zinafuatwa kwa kiasi kikubwa kulinganisha na sehemu nyingine. Na watu wanachukulia kama ni haki za muhimu sana.
Huwezi kumsimamisha tu mtu barabarani, na kumdetain kama wewe ni peace officer au kidnap kama wewe siyo peace officer. Kuna kanuni za kufanya hivyo.
Hata hizi videos za mke wa Roma sijui yupo bar, that's a public place na huwezi kutegemea privacy in a public place hadi Ile bar ingeandika no cameras.
Camera ni sawa na macho, unachokiona na kukimumbuka unaweza kukielezea kama camera inavyoelezea.
 
Ok

That’s why I asked uko ulaya, because mama uko ulaya , your perception of things differ

Mie Niko bongo
 
Usalama wa taifa ni ulinzi wa kila kitu!
Uko sahihi kabisa. Yaani sehemu pekee ambayo hawa watu wanakwama kiulinzi hawawezi kulinda ni hewani tu; ila nadhani kama wangekuwa na uwezo huo, hata hewa wanayovuta Watanzania walitakiwa kuwa wanahakikisha kuwa iko salama kwanza halafu ndiyo Watanzania wainavuta
 
Mwanajeshi ni mtu mtu wa kawaida saaaaaaana tena saaaaaaaana....huwa najiuliza kwanini mnawapa vyeo sana hawa mashemeji zangu
 
Back
Top Bottom