Dogo nae alizingua huo mnyama hata na yeye hakujiongeza kidogo ye analeta kidomo domo chake eti kisa msukuma ni mjomba ake[emoji23][emoji23], ngoja akale kazi.
 
Kulikuwa kuna haja gani ya kufanya hayo waliyafanya kwa makosa ya barabarani, kwanini wasingeita trafiki washughulike naye huyo raia.
Lakini kwa ushamba wao wanaamua kujifanya wao ni special sana,ni washamba tu.
Unajuaje kama walitaka kumuhifadhi hapo ili waite traffiki?
 
Dogo nae alizingua huo mnyama hata na yeye hakujiongeza kidogo ye analeta kidomo domo chake eti kisa msukuma ni mjomba ake[emoji23][emoji23], ngoja akale kazi.
Nani kasema nchi hii ni ya wana usalama peke yao?
 
Kwa nini unasema hakukuwa na haja ya kumpeleka hapo?

Mimi Naona wamefanya sawa tu!
 

Huwa wanatumia nguvu nyingi sana za bila sababu wakati mwingine
Naona na wewe ni mmoja wao au unapenda kazi hii
I have been there too
 
Great Mkuu!!!
 
Combats tokea upande wa pili na bunduki hakuwa na namna.

Makosa aliyofanya ni pamoja na kuendelea kuifuata kwa nyuma gari ile. Kusubiri nyuma hata iliposimama. Yote akiamini hana makosa.
Barabarani mwenye nguvu mpishe tu.

Asingepoteza muda kama angeomba radhi mapema tu.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Wajeda hawajafanya poa ila na yeye jamaa ana chembechembe za uzembe ndani yake.

Kuna watu wanapenda sana haki ilhali hapa kwwtu huwa haipo, wewe umeona jamaa kakuchomekea kakukosa, jamaa kaja simama mbele yako yote hiyo anakutafuta tu. Unaacha kutafita upenyo usepe we unakaa kumsubiri hadi ashuke mbishane na ushajua atakuletea matatizo ikiwemo kukupotezea muda.

Kuepusha zogo ni kusepa tu, ushajua hawa watu akili zao ni ndogo nenda nao ivoivo uepukane na upotezewaji wa muda bila sababu za msingi, mashahidi wenyewe waoga kichizi hata kushuka hawashuki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…