Hata tuseme ni kweli aliwatukana,Sasa mtu kukutukana tu ndio mumshukie wengi hivyo kama mmeona gaidi? Punguzeni arrogance wana usalama wetu, mnapenda sana kudeal na vitu petty na kuoneshana umwamba, hii nchi ina mambo mengi sana ya kushughulikia, watu wa muhimu mliopewa dhamana mnapambana na watukanaji barabarani. Haiingi akilini kosa la kutukana adhabu yake iwe hiyo "chaos" yote iliyotokea hapo.
Kutukana mbona mnatukanwa na wake zenu na waume zenu kila siku majumbani na hamna kitu mnafanya?
Viti vya ofisi za umma vinakaliwa na washamba na malimbukeni!