Yamekaa kipumbavu sana, yani mtu hana Uterus ati anasema ni jaribu na anaomba mfungo na sadaka juu afunguliwe😁Baraka sio universal. Ni kwa anayeamini.
Mke wa mchungaji anayeamini halafu hazai basi ana majaribu ya kiroho. Avumilie ataenda mbinguni. Elewa mambo ya imani boss. Siku zote hayakosi jibu, yana njia mbadala na hayafati sheria za logic.
Painful honesty 💔 😢Watoto ni matokeo ya ngono, Na wala sio baraka wala zawadi kutoka kwa Mungu yeyote.
Ndiyo maana “slay queens ” wanatafuta pesa ili kutoa mimba, wakati mke mgumba wa mchungaji anatafuta mtoto kwa muda mrefu. Na mimba haishiki.
I'm out.
Ndo keshaamini sasa mkuu.Yamekaa kipumbavu sana, yani mtu hana Uterus ati anasema ni jaribu na anaomba mfungo na sadaka juu afunguliwe😁
Nashindwa kuwaelewa.Ndo keshaamini sasa mkuu.
Umri wako ?Point ni kwamba, Hakuna Mungu yeyote anayeleta watoto duniani.
Ni kwa sababu wewe sio mtu wa Imani. Haufit kwenye fikra za kiimani ambazo wapo.Nashindwa kuwaelewa.
Kwa lugha nyepesi imani na mafundisho yake ni sawa na Kichaa na jalala.Ni kwa sababu wewe sio mtu wa Imani. Haufit kwenye fikra za kiimani ambazo wapo.
Mfano, kichaa anayekula jalalani miaka na miaka unaweza kwenda Jalala analoishi ukashiriki naye chakula ili umuelewe kwanini anaishi anavyoishi?
Sasa mtu asiye na imani, kujaribu kumuelewa anayeamini huku akiwa nje ya imani ni sawa na kushiriki chakula jalalani na kichaa. Unaweza kuhara mpaka utumbo.
Nchi imeshajaaZaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi ,imeandikwa Mwanzo 1:28.
Mkuu, kuwa timamu ni kufungwa na logic na facts za wakati uliopo kutegemeana na elimu tuliyokuzwa nayo ila faith ni part of nature na ni ufunguo muhimu sana kwa yasiyowezekana yawezekane.Kwa lugha nyepesi imani na mafundisho yake ni sawa na Kichaa na jalala.
Ukiwa timamu haiingii akilini.
Basi kuna sehemu nilikusoma vibaya uliposema watoto ni zao la kujamiiana. Mimi nikaona kivipi tunda la kujamiiana iwe ni mtoto pekee? Vipi kama wahusika wanataka burudani tu? Hawana hilo chaguo?Mada yangu sio kutafuta utofauti wa sex ya mnyama na binadamu.
Mada yangu ina maanisha hakuna Mungu anaye saidia watu kupata watoto.
Umeeleza vyema, japo kwa aliejifungia kwenye box la logic na facts haez kukuelewaMkuu, kuwa timamu ni kufungwa na logic na facts za wakati uliopo kutegemeana na elimu tuliyokuzwa nayo ila faith ni part of nature na ni ufunguo muhimu sana kwa yasiyowezekana yawezekane.
Imagine mlokole nyakati ambazo simu hazipo anawaambia kwenye ibada, kiimani kuwasiliana na mtu aliyepo hata km 1000 bila kumfikia inawezekana halafu wewe na mimi tuliofungwa na logic za nyakati hizo tunamsikiliza.
wakati tunamshangaa mke wa mchungaji anayeamini anaweza kupata mimba bila uterus, imani hiyo hiyo akiwa nayo binadamu sahihi baada ya miaka kadhaa inakuja tech ambayo mwanamke asiye na uterus anashika mimba then tunaikubali na kuiingiza kwenye logic na facts za ubongo wetu.
Faith ni jambo zuri, beautiful kabisa kwa mwanadamu sema ni namna tu anavyoitumia ndo inaleta utofauti, watu weupe wamefanikiwa sana kupitia faith, sababu ya kuunganisha faith na ulimwengu wa logic na fact then ile faith ikaexist kwenye ulimwengu huo.
Mungu wa kweli ni yupi ?. Ni tofauti na yule viongozi kama Raisi kwa mfano wanaemwapia wakiwa wanatawazwa kushika madaraka? Kwanini huwa wanaapa kwa biblia au msaafu?Na hiyo ni haki yao ya kikatiba kuamini chochote ikiwemo hii imani ya Mungu wa uongo.
Ishu sio kuamini bali madai ya chanzo cha hiyo Imani ni nini, ukisema unaweza kuongea na mtu aliye km 1000 bila kuonana au mwanamke asiye na uterus kupata mimba halafu ukasema kwa uwezo wa mungu jambo la kwanza unatakiwa uthibitishe uwepo wa mungu.Mkuu, kuwa timamu ni kufungwa na logic na facts za wakati uliopo kutegemeana na elimu tuliyokuzwa nayo ila faith ni part of nature na ni ufunguo muhimu sana kwa yasiyowezekana yawezekane.
Imagine mlokole nyakati ambazo simu hazipo anawaambia kwenye ibada, kiimani kuwasiliana na mtu aliyepo hata km 1000 bila kumfikia inawezekana halafu wewe na mimi tuliofungwa na logic za nyakati hizo tunamsikiliza.
wakati tunamshangaa mke wa mchungaji anayeamini anaweza kupata mimba bila uterus, imani hiyo hiyo akiwa nayo binadamu sahihi baada ya miaka kadhaa inakuja tech ambayo mwanamke asiye na uterus anashika mimba then tunaikubali na kuiingiza kwenye logic na facts za ubongo wetu.
Faith ni jambo zuri, beautiful kabisa kwa mwanadamu sema ni namna tu anavyoitumia ndo inaleta utofauti, watu weupe wamefanikiwa sana kupitia faith, sababu ya kuunganisha faith na ulimwengu wa logic na fact then ile faith ikaexist kwenye ulimwengu huo.
Uko sahihi kabisa!!!!Na inawezekana wengi wetu tumezaliwa bila mimba zetu kupangiliwa, zimejikuta zimeingia tu wakati wa starehe.
Pamoja sana mkuuUmeeleza vyema, japo kwa aliejifungia kwenye box la logic na facts haez kukuelewa
Ishu sio kuamini bali madai ya chanzo cha hiyo Imani ni nini, ukisema unaweza kuongea na mtu aliye km 1000 bila kuonana au mwanamke asiye na uterus kupata mimba halafu ukasema kwa uwezo wa mungu jambo la kwanza unatakiwa uthibitishe uwepo wa mungu.
Jambo lingine muhimu kwenye Sayansi ni "how"/ kwa namna gani. Ukisema kupaa na ungo inawezekana unatakiwa useme namna gani/how. Ubongo wa binadamu unaweza kuwaza imaginations au possibilities zozote, swali la msingi ni 'how'. Katika Sayansi kuongea na mtu aliye kilometa 1000 itakuonyesha simu, minara, nyaya pamoja na formulas za physics. Mtu yeyote akitaka anaweza kurudia hilo tendo muda wowote(repeatable process). Upuuzi ni kusema unaweza kuongea na mtu km 1000 bila kuonana naye au kumfanya mwanamke apate mtoto bila uterus halafu hakuna "how" na ni exclusive kwa baadhi ya watu tu.
Yupi?Hahahahaaaa kuna mwanaume, mmoja tu hukuhitaji style yoyote!