Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 1,271
- 1,604
Silinde Kapigwa chini,kazidiwa kula kama 100,Lijua chali
mods kichwa cha habari cha mwanzo kikifaa zaidi.wala.hikuhitaji kukibadiliUzi huu ni wa Matokeo ya kura za Maoni ya Wabunge wasaliti kama kina Nassari, Lijualikali, Silinde, Mtulia, Mtolea n.k
Sent from my M4 using JamiiForums mobile app
Anasema ana Degree 3 zitambeba
No haiko hivyo mkuu, kama unafatilia siasa huko Buchosa Shigongo hii ni mara ya tatu anagombea.Name recognition ndio factor kubwa nimegundua.
Kiwango ambacho wamesikia jina lako kwenye jamii, hata kama ni kwa udaku.
Erick Shigongo anashindaje siasa za ubunge?
Namshangaa Amber Rutti hajagombea.
Kwani imekuwaje bwashee?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Tunajivunia
Wao sio wajumbeHivi wale waliopata kura zero a.k.a sifuri inamaana hawakujipigia ..CCM kweli janga
Jamaa anapiga ma magoti utadhani anapeleka maungamo kwa Askofu. Hatariiiii......Hayo hapo ya silindeView attachment 1512153
Amefirimbwaaaaa kura 118 Kwa 250Silinde mbona wanasema kashinda
Amekuwa wapiliSilinde huko vipi wakuu?
Watu wana vyama vyao. Wao Wanakwenda na kamba miguu kama kuku wa matambiko. Lazima waliweSilinde Kapigwa chini,kazidiwa kula kama 100,Lijua chali
Tamaa ģani?Yule mzee ana tamaa
silinde kapigwa chaliVipi Wakudadavuwa huko Songwe?
Kamati ya roho mbaya haitaki mchezo kabisa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].ingekua wana angalia nan ana followers wengi instagram.kajamaa kangewashinda wenzie[emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1512001
Kura zimehesabiwa kwa wazi Rais anahusika nini
RUSHWA YA CHINI KWA CHINICCM siyo chama rafiki kwa wanyonge. Pamoja na muamko mkubwa uliooneshwa wanyonge ktk uchaguzi huu kuchukuwa fomu za kugombea ubunge, lkn hakuna hata mmoja ambaye ni mnyonge atapata nafasi ya kupitishwa.
Kwanini? Kura za maoni wengi wao wamepata sufuri kabisaa! Ndiyo kisema hata majina yao hayawezi kupelekwa kwa " "mzee wa mood" (a.k.a inategemea nimeamkaje).
Wenye nazo tu ndiyo wamejizolea kura nyingi karibu kila Jimbo.
Shauri zenu......!!!!