Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Name recognition ndio factor kubwa nimegundua.

Kiwango ambacho wamesikia jina lako kwenye jamii, hata kama ni kwa udaku.

Erick Shigongo anashindaje siasa za ubunge?

Namshangaa Amber Rutti hajagombea.
No haiko hivyo mkuu, kama unafatilia siasa huko Buchosa Shigongo hii ni mara ya tatu anagombea.

2010 na 2015 kura hazikutosha ila hajakata tamaa kaendelea kujijenga naona this time kapata 'sare'. Na mara zote amekuwa akipambana na huyo Tizeba.
 
Kwani imekuwaje bwashee?
0D0B648D-C1EF-4268-80C8-C3642A73CE13.jpeg
 
20 Julai 2020
Iringa, Tanzania

KURA ZA MAONI CCM IRINGA MJINI/ WAGOMBEA WAKIOMBA KURA



Source : Iringa Yetu TV
 
Wapinzani tujiandae kulinda kura zetu zinazoibwa kila mwaka tangu 1995.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Kamati ya roho mbaya haitaki mchezo kabisa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].ingekua wana angalia nan ana followers wengi instagram.kajamaa kangewashinda wenzie[emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1512001

Kuna Watu wanadhani kuwa ' Maarufu ' katika Redio na Runinga basi ndiyo ' Tiketi ' ya kuwa Wabunge na sasa ' Wananyooshwa ' ile Kiukweli.
 
CCM siyo chama rafiki kwa wanyonge. Pamoja na muamko mkubwa uliooneshwa wanyonge ktk uchaguzi huu kuchukuwa fomu za kugombea ubunge, lkn hakuna hata mmoja ambaye ni mnyonge atapata nafasi ya kupitishwa.

Kwanini? Kura za maoni wengi wao wamepata sufuri kabisaa! Ndiyo kisema hata majina yao hayawezi kupelekwa kwa " "mzee wa mood" (a.k.a inategemea nimeamkaje).

Wenye nazo tu ndiyo wamejizolea kura nyingi karibu kila Jimbo.

Shauri zenu......!!!!
RUSHWA YA CHINI KWA CHINI
 
Back
Top Bottom