SILINDE kachekesha ........huu ununuzi ni dalili kuwa ccm na chadema na upinzani kwa ujumla wote ulikuwa unawaumiza na kuwaudhi .....wameamua kumuambia Rais kwa herufi kubwa ....yaani watu wapige kura alafu watu wanahama tu .....kwa kununuliwaSilinde ni msaliti na amekwenda na maji full stop.
Toka amefiwa na mkewe hayupo sawaKwa ujeuri ule wa Mwakyembe, alitastahili kupata zile kura 6 za Steve Nyerere! Yaani baada ya kusikiliza clips zake jana, nikajiuliza what if Mwakyembe angekuwa na cv angalau kama ya Lipumba; nadhani angemtukana hata Magu!!
Halafu siasa nazo, dah! Sijui Lipumba na yeye alirogwa nini kwa cv kama ile kuingia kwenye siasa za hovyo!!
Waitara simuoni hapa yeye yupo team gani?*WALIO ANGUKIA PUA KURA ZA MAONI CCM*
*#TeamMwananzila*
1. Sophia Mjema
2. Paul Makonda
*#TeamKuungaJuhudi...
Life will never be same again.Mchakato unaendelea. Tulieni, jina linarudi Hilo na Mambo yatakua sawa
Huyu Mollel akipitishwa Jimbo linaondoka asubuhiMasai katoboa mchana peupe
Kwa hiyo ndugulile ana hela kuliko bashite?? Ishi vizuri na watu ule mema ya wananchi.Kigamboni Kuna mchezo umefanyika so bure,harufu ya rushwa na kukomeshana.
CC inatakiwa kufanya uchunguzi kwa Hawa wanaoteuliwa ili kupata viongozi bora na wenye maslahi mapana zaid kwa wananchi.
Watu wamebanwa maslahi yao Sasa wanaamua kuleta urafiki na kutumia kilambinu kutaka kuwatoa waliowabana ili waeze kuendelea kupiga.
unaendelea sehemu nyingine ila sio kigamboniMchakato unaendelea. Tulieni, jina linarudi Hilo na Mambo yatakua sawa
Hakuna kitu kama hicho hao CCM sio machizi mpaka wafanye upuuzi wa kumrudisha MAKONDA Kwa kifupi watanzania wote wamefurahi kupigwa Kwa bashiteMchakato unaendelea. Tulieni, jina linarudi Hilo na Mambo yatakua sawa
Waende vyama vingine hata TLP huko watapenya kirahisiChadema wachukueni vijana wenu, walipotoka kidogo kwa kuunga juhudi. Mtoto akiunyea mkono suruhisho sio kuukata. Walikosea nawaombea msamaha sidhani kama watarudia. Kama mchakato wa uteuzi bado unaendelea naombeni muwarudishe kundini.
Nakubaliana na wewe kwa kiasi kikubwa,Yani ccm wanataka kuleta mazoea ya zamani ya mbinu chafu na kuzidiana kete.Kwa kasi aliyonayo Mh. Rais na kwa sababu nchi inataka kuelekea uchumi mkubwa wa kati yaani higher middle economy country, hii kazi ya kuchagua wagombea wasingeachiwa wajumbe peke yao maana wao wanaweza fanya kwa maslaahi yao au kwa ushabiki ni bora hawa wagombea ubunge wangeteuliwa tu kwa maslahi ya taifa.
I see amepita huyu Zero!!?Nyamagana
Stanslaus Mabula=319
John Nzwalile =54
Sema wewe tu ndio umefurahi. Usisemee watazania wote. Wasafi tunasikitikaHakuna kitu kama hicho hao CCM sio machizi mpaka wafanye upuuzi wa kumrudisha MAKONDA Kwa kifupi watanzania wote wamefurahi kupigwa Kwa bashite
Wakipata umaarufu wanajiona wao ndio kila kitu, asubiri kubebwa na kamati au kuteuliwaSILINDE kachekesha ........huu ununuzi ni dalili kuwa ccm na chadema na upinzani kwa ujumla wote ulikuwa unawaumiza na kuwaudhi .....wameamua kumuambia Rais kwa herufi kubwa ....yaani watu wapige kura alafu watu wanahama tu .....kwa kununuliwa